Nina laki 8 Nahitaji samsung s7 edge ya 2017 mpya

Nina laki 8 Nahitaji samsung s7 edge ya 2017 mpya

Ma samsung hayana kitu hayo. Tecno ndio mpango mzima. Halafu umejichanga kwa muda kama ulivyosema. Si bora uongezee ununue iPhone.
 
Akiwa anauelewa huu mji atafuata ushauri. Rahisi huwa gharama.
Sijui anapimaje upya kwa kutoa hela kiasi hicho. Atafanyiwa factory reset, atapackiwa simu kwenye boksi, charger, ear phone kisha kiboksi kinapigwa seal. Mpya

Hivi huwa wanaweza ku-Edit serial za kwenye box zifanane na za simu?
 
Ma samsung hayana kitu hayo. Tecno ndio mpango mzima. Halafu umejichanga kwa muda kama ulivyosema. Si bora uongezee ununue iPhone.
Kwanini aongeze kama ana shida na iphone,mbona kwa bei hiyo anapata iPhone 6,6+,hata 6s, 6+,kama anazitaka!!!????

Naona hazitaki anataka Samsung.
 
Mimi natafuta xiomi mi mix global version sijui kwa hapo dar nitaipata wapi?
 
Back
Top Bottom