Nina laki 8 Nahitaji samsung s7 edge ya 2017 mpya

Nina laki 8 Nahitaji samsung s7 edge ya 2017 mpya

Laki 8 mpya!!
Hiyo nafikiri unaulizia kwa bei ya iliyotumika grade C na kushuka au zakudanganywa
 
We mshamba Hakuna kitu kinaitwa samsung S7 Edge ya 2017, na kama unataka mpya nenda dukani ukanunue brand-new samsung S7 Edge 2016 lakini sio kwa hela hiyo mbuzi 800k.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba matusi yanatoka wapi tena mkuu.
Kama umegundua mi ni mshamba nieleweshe vizuri haya mambo sio taaluma yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu nataka iwe mpya ya mwaka 2017.used sitaki kama unayo nicheck pm

Sent using Jamii Forums mobile app
429112ad3a7d8a1c7b6a1f0866af2a54.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba matusi yanatoka wapi tena mkuu.
Kama umegundua mi ni mshamba nieleweshe vizuri haya mambo sio taaluma yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuzote mnaambiwa Kizuri kina gharama hamsikii. Na usipoangalia utauziwa used iliyobadilishwa housing na kubandikwa stickers plus charger na earphones fake ukidhani ni mpya kumbe used. Kanunue mpya dukani kitu cha uhakika mixer warranty ya uhakika na sio kuunga unga lazima itakutokea puani tu!

Akiwa anauelewa huu mji atafuata ushauri. Rahisi huwa gharama.
Sijui anapimaje upya kwa kutoa hela kiasi hicho. Atafanyiwa factory reset, atapackiwa simu kwenye boksi, charger, ear phone kisha kiboksi kinapigwa seal. Mpya
 
Mnunuzi kuwa makini kama wadau wengine walivyoshauri. Samsung ya 2017 ni S8 na S8+. Toleo unalotaka lilitoka mwaka jana. Huwa hawarudii kuproduce matoleo ya nyuma kama mkate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom