Nina laki 8 nahitaji laptop nzuri

Nina laki 8 nahitaji laptop nzuri

fogoh2

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
6,022
Reaction score
6,342
Iwe na RAM kuanzia 12, SSD au HDD kuanzia 500, HP au Dell, kuanzia 8 generation. Iwe na graphics cad, ikiwa mvidia itapewa kipaumbele.
 
Iwe na RAM kuanzia 12, SSD au HDD kuanzia 500, HP au Dell, kuanzia 8 generation. Iwe na graphics cad, ikiwa mvidia itapewa kipaumbele.
Mcheck Chris lukosi kuna Pc alipost jana nadhani
 
Nina LENOVO Thinkbook nilinunuliwa MPYA dukani Milioni Mbili na Laki Sita,nimeitumia miezi miwili tu NAIUZA,karibu PM kwa picha na details zaidi
 
Specifications
Hizo hapo
IMG_20230721_163051_049.jpg
IMG_20230721_163217_392.jpg
 
Naulizia specs Kwa maana Aina ya processor, ram, GPU kama inayo, storage nk
Mkuu,mimi hayo mambo ya RAM,PROCESSOR,GPU hata sijui,najua ku-type tu[emoji1787]labda uniambie niiwashe na kuingia wapi ndio nitayaona nipige picha nitume
 
Mkuu,mimi hayo mambo ya RAM,PROCESSOR,GPU hata sijui,najua ku-type tu[emoji1787]labda uniambie niiwashe na kuingia wapi ndio nitayaona nipige picha nitume
Iwashe alafu kwenye window screen apo kwenye eneo la kusearch type Dxdiag then OK itakuletea properties zote unazohitaji
 
Processor imeandika N/A na ndio uminatakiwa hapa
Mimi sijui sasa,kama nilivyoandika Laptop nimepewa ikiwa Mpya kabisa kwenye box lake,na huyo Ofisa wa Procurement anasema thamani yake ni 2.6,sasa sijui kaongeza Bei ili apige Pesa ofisini I don't know
Naiuza kwa sababu ni nzito sana kwa kazi zangu za Field,nachoka kuibeba kuingia nayo field,so ni heri niiuze kisha ninunue ki-min laptop tu.
 
Back
Top Bottom