Nina laki 3, Nahitaji simu

Nina laki 3, Nahitaji simu

The last don

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Posts
1,135
Reaction score
1,381
Habari Wadau... nahitaji mwenye simu original Brand yoyote kati ya Huawei,LG,Sony,HTC au Samsung iliyo kwenye hali nzuri..nicheki tufanye biashara.
 
Habari Wadau... nahitaji mwenye simu original Brand yoyote kati ya Huawei,LG,Sony,HTC au Samsung iliyo kwenye hali nzuri..nicheki tufanye biashara.
Njoo nikuuzie samsung grand prime plus haina tatizo lolote iko kwenye hali nzuri kabisa
 
nina s6 edge ni check
Weka namba yako Pm nikuchek ingawa Sitegemei S6 Edge OG ya halali iliyo katika hali nzuri kwa laki tatu....maana hiyo kwangu ndio top budget... Kama Unamaanisha niwekee contact zako tufanye biashara.
 
Minimum specificaion:
2GB RAM,Internal memory 16GB..na chipset isiwe mediatek.
 
Hii hela ipo mfuko wa Shati wakuu....Sony,LG,Huawei na Samsung Kariibuni
 
Samsung Galaxy J3 Ya 2016
Iko Kwenye Hali Nzuri Bado Ina Warrant Ya Miaka Miwili
 
Back
Top Bottom