Nina laki 3, Nahitaji simu

Nina laki 3, Nahitaji simu

Mediatek chipset ndio ikoje hyo mkuu tufafanulie kidogo
Okey mkuu,ni aina mojawapo ya mobile processor chief,ambayo inatumika sana katika midrange mobile phone.Hivyo hiyo infinix note 4 uliyoniambia ina aina hiyo ya Mediatek Soc ambayo mimi siipendelei.
 
Wakuu Asanteni sana kwa Ushirikiano wenu,Nimeletewa simu usiku huu na inanifaa kwa matumizi ya sasa.
 
Ok mzee pia kuna nyingine naionaga inaitwa oxgnos na yenyewe cjui ni vipi?
Exynos ni processor ambazo zinatengenezwa na Samsung,wakati Snapdragon zinatengenezwa na Qualcomm industry.. Ingawa kiubora bado Snapdragon ni bora zaidi ya Exynos na ndio maana hadi leo Samsung Electronics wanaendelea kuzitumia katika devices zao ingawa nao wana processor zao.
 
Habari Wadau... nahitaji mwenye simu original Brand yoyote kati ya Huawei,LG,Sony,HTC au Samsung iliyo kwenye hali nzuri..nicheki tufanye biashara.

HABARI,
"The last don,
Ndugu wachana na simu za mikononi watu wanakabwa na kuuwawa wanachukuliwa simu,Wakitafuta kwa IMEI(International Mobile Equipment Identity )Wanakukamata haraka unaingia matatizoni.
Hiyo pesa inatosha kabisa kwenda kwa maagent wa hizo brand na unapata simu mpya original ukiwa salama.
Ni ushauri tu.

LUMUMBA
 
Asante Chief, Nimechukua kila hatua ya usalama katika kununua simu mkononi kwa mtu.Ni kweli nimenunua simu usiku huu mbele ya camera zisizopungua nne na payment nimeifanya kupitia bank account.Maana kuna watu wanaouza mali zao halali ambazo hawazitumii au ni Biashara zao halali,na pia madukani kwetu hapo kariakoo ujinga ujinga na udanganyifu umekuwa mwingi saana ni bora kudeal na mtu mmoja.
 
Ok safi kwa kuchukua tahadhali na kulijua hilo.

LUMUMBA
 
Back
Top Bottom