Nina Laki 2,ninunue Simu Gani Nzuri

Nina Laki 2,ninunue Simu Gani Nzuri

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
Nina Laki Mbili Ninunue Simu Gani Nzuri Wataalamu
 
Mkuu katika manunuzi ya simu focus kwenye haya mambo
1. Camera pixel 8mp kwenda juu ni kudos.
2. Ram size 1gb and above
3. Cpu speed
4. Android version yake
5. Battery capacity
6. Size ya simu km ni mpenz wa size....
7. Touch screen sensitivity
8. Internal memory na external km ina support....

Vyote unavipata ukigoogle type ya simu unayotaka.......
 
Mkuu katika manunuzi ya simu focus kwenye haya mambo
1. Camera pixel 8mp kwenda juu ni kudos.
2. Ram size 1gb and above
3. Cpu speed
4. Android version yake
5. Battery capacity
6. Size ya simu km ni mpenz wa size....
7. Touch screen sensitivity
8. Internal memory na external km ina support....

Vyote unavipata ukigoogle type ya simu unayotaka.......

ok saidia kwa specification hizo na bei tajwa simu gani inafit vigezo.
 
ok saidia kwa specification hizo na bei tajwa simu gani inafit vigezo.

Hiyo alcatel nmegoogle nmeona ipo poa tu na ni nzuri pia huawei ni nzuri ila daaah kitaa zmekua too much na kamera yake sijaikubali.....tecno it sound chinese but ni one of the best phone kwenye market but upate original....
The choice is yours amigo
Alcatel
Huawei
Tecno
Just nenda google ziangalie vzuri na angalia specification zao na nenda dukani uzione......
 
Kwa pesa twaja tafuta Tecno M5, tecno P5 ni nzuri (ndo ninayotumia) iko kila kitu kama M5, lakn katika specifications kuna watu hawajanote kitu cha muhimu sana, RAM, P5 ina 512MB na M5 ina 1GB, kwahyo kwa spid, M5 itaishinda P5, japo kwa show P5 ni nzuri kuliko M5. Y300 ni nzuri, lakn ni single line na zile za 195k ni za tigo, kwa hyo htumia line ya tigo tu, ku unlock hyo itumie line yoyote inaweza kuwa hadi elf25, itapitiliza pesa unayo.
Samsung ni nzuri, lakn hakuna cm sipend kutumia kama samsung, ni ngumu sana kuztumia kama hujazoea. Kifupi, kwa pesa hyo cjajua kama una options kubwa....
Cjaona tu Nokia X na cjajua zauzwa ngapi.
 
Back
Top Bottom