Nina laki 2 ..nahitaji tv flat inchi 32

SACO

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
2,314
2,910
Karibuni kwa mliopo mkoa wa Dar, Pwani, Mbeya, Iringa, Njombe Rukwa na Katavi
 
Karibuni kwa mliopo mkoa wa Dar, Pwani, Mbeya, Iringa, Njombe Rukwa na Katavi
Dar utapata aina ya SINGSUNG, ni nzuri sana. In fact ni second to SAMSUNG. Mimi ninayo ni nzuri na bei zake pale Kariakoo mitaa ya Msimbazi/Simba zipo tu. Kama huniamini, jaribu kuulizia kwa fundi TV suala hili.
 
Back
Top Bottom