Kristonsia Nkya JF-Expert Member Joined Jun 24, 2013 Posts 309 Reaction score 302 Oct 29, 2016 #1 Hakim: kijana unahukumiwa kifungo cha miaka 5 jela kwa kosa la kuuza gongo na konyagi. Mtuhumiwa: Lakin vile ni vifaa tu mlivyovikuta navyo hamjanikuta na gongo. Hakim: Wewee nyamaza!!! Ukikutwa na Vifaa vya kutengeneza gongo lazima utakuwa mtengeneza gongo mzur sana we. Mtuhumiwa: bas mnihukum pia kwa kosa la kubaka Hakim:Haaaa!!!kumbe ulibaka pia???? Mtuhumiwa: Hapana skubaka ila Nina kifaa cha kubakia. Hakim: kioneshe, kiko wapi?? Mtuhumiwa: (akafungua zipu ya suruali na kuonesha mashine yake) “Hiki hapa" Hakim: Kuanzia sasa uko huru
Hakim: kijana unahukumiwa kifungo cha miaka 5 jela kwa kosa la kuuza gongo na konyagi. Mtuhumiwa: Lakin vile ni vifaa tu mlivyovikuta navyo hamjanikuta na gongo. Hakim: Wewee nyamaza!!! Ukikutwa na Vifaa vya kutengeneza gongo lazima utakuwa mtengeneza gongo mzur sana we. Mtuhumiwa: bas mnihukum pia kwa kosa la kubaka Hakim:Haaaa!!!kumbe ulibaka pia???? Mtuhumiwa: Hapana skubaka ila Nina kifaa cha kubakia. Hakim: kioneshe, kiko wapi?? Mtuhumiwa: (akafungua zipu ya suruali na kuonesha mashine yake) “Hiki hapa" Hakim: Kuanzia sasa uko huru
eddy brown JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 414 Reaction score 314 Oct 29, 2016 #2 Hii mbona ya kitambo mkuu.
U ustadhijuma JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 3,133 Reaction score 2,117 Oct 29, 2016 #3 ngoja Nami nitajaribu mahakamani