Kigger JF-Expert Member Joined Mar 9, 2015 Posts 884 Reaction score 836 Jun 13, 2015 #1 wadau habari hapa nina iphone 2 moja tatizo ni icloud umelock na nyingine tatizo ni netwok haipandi je naweza kupeleka kwa fundi nikafanikiwa kukomboa simu moja
wadau habari hapa nina iphone 2 moja tatizo ni icloud umelock na nyingine tatizo ni netwok haipandi je naweza kupeleka kwa fundi nikafanikiwa kukomboa simu moja
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,308 Reaction score 38,526 Jun 13, 2015 #2 IPhone 2 ndio simu gani hiyo.??
STimira Senior Member Joined Feb 14, 2012 Posts 133 Reaction score 24 Jun 13, 2015 #3 Ni aina zipi za hiyo iphone ulizonazo? Jibu hilo kabla sijachangia mawazo Mkuu
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,085 Reaction score 8,409 Jun 13, 2015 #4 Kama iki icloud locked hiyo chezea game tu
Delter Member Joined May 9, 2015 Posts 42 Reaction score 7 Jun 14, 2015 #5 Iphone zipi ulokua nazo wewe
asubuhi sana JF-Expert Member Joined Mar 18, 2015 Posts 1,669 Reaction score 1,418 Jun 14, 2015 #6 Natumia Tecno y3 toka tigo! Mwenye uzoefu wa kutoa lock ili iweze kutumia mitandao yote tz! Mwenye ujuzi na hili ani PM ni mpe IMEI, then payment
Natumia Tecno y3 toka tigo! Mwenye uzoefu wa kutoa lock ili iweze kutumia mitandao yote tz! Mwenye ujuzi na hili ani PM ni mpe IMEI, then payment