Nina imani na Jeshi la Polisi lakini...

Nina imani na Jeshi la Polisi lakini...

Kesi ya huyo kijana iko mahakamani. Polisi wanaingiaje kwenye suala ambalo maamuzi yako mikononi mwa Mahakama?

Mahakama ndio iliyomnyika dhamana.

Ningekuelewa kama lawama ungepeleka kwa hakimu aliyesema anaomba muda akasome sheria kuhusu mazingira ya kutoa au kutotoa dhamana.
Hii haina chenga, lawama kwa jeshi LA polisi inatokana na ukweli kuwa wao ndio waliomkamata na kisha kutoa maelezo yanayojikanganya. Iringa walisema Nondo aliripoti polisi huku dar wakidai hakuripoti popote. Lakini pia jeshi la polisi liliendelea kumshikilia kwa muda mrefu zaidi (Siku 13) bila dhamana wala kumruhusu kuwasiliana na wakili wake na hata ndugu sake (kinyume cha sheria). Kwakuwa polisi wamemtuhumu kuwa amejiteka mwenyewe!..hoja ya kuwa asipewe dhamana kwa usalama wake kwakuwa waliomteka bado hawajakamatwa inasimamia wapi? "Tumia akili unapochangia ktk jukwaa hili"
 
.
IMG_20180302_040118_090.jpg
tapatalk_1519969548904.jpeg
 
Kesi ya huyo kijana iko mahakamani. Polisi wanaingiaje kwenye suala ambalo maamuzi yako mikononi mwa Mahakama?

Mahakama ndio iliyomnyika dhamana.

Ningekuelewa kama lawama ungepeleka kwa hakimu aliyesema anaomba muda akasome sheria kuhusu mazingira ya kutoa au kutotoa dhamana.
KILAZA KTK UBORA WAKO
 
Back
Top Bottom