Jomba muogope mungu joseverest anakuona ujuePicha tunaomba
Alafu namtafta ujue. Aliondoka bila kuaga.Jomba muogope mungu joseverest anakuona ujue
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nimependa tu hapo pa kwenda kuvuta Ganja kisha kurudi ofisini kuhudumia taifa...very creactive! Unastahili kupandishwa daraja la ufanyakazi bora!
Muone na macho yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ww na mzee baba wa kulenga
Muone na macho yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vibaya mno [emoji7]Unayapenda enhe?!
Vibaya mno [emoji7]
Naona umeamua kusitiri tu MaThakoo hapo. Mzee kidonge unamatatizoMleta mada mwenyewe bonge la brazameni...
View attachment 639804
Naona umeamua kusitiri tu MaThakoo hapo. Mzee kidonge unamatatizo
Correct, that time nilikua na 20.. Na sura yangu still haijabadilika sana na ukizingatia kichwani kipara na kidevuni nakwangua zote, unique IDjomba unatubebea akili ......miaka ya 2000 kama ulikuwa stashahada tuassume ulikuwa na 21-22 jumlisha 17 sa hivi una ka 38 inamaana we jamaa hujabadilka kabisa .....sio rahc bana hivo otherwise ulikuwa unamtongoza ndugu yako
Hahahaha!!! Kwlii kabsaaaaa!!!Nadhani hatuhitaji kuyajua hayo. Kwa ishara tu demu keshadata kwa mla ganja. Kausha.
Nadhan hujamuelewa Mxhikaji,, yeye hashangai huyo dada kuuza mgahawa anachoxhangaa dem kuwa na muda wa kuongea naeWanaume banah,
Sio kila anayehudumia ni muhudumu, wengine ndio wenye mali wenyewe wameamua tuu kutoa huduma wasipoteze wateja. Na pia inawezekana kipato anachokiingiza ni mara kumi ya mshahara wako.