Ban ni tamu kama ukiindaa kwa utaratibu huu:
Chakua BAN yako, kata vipande vidogo vidogo, chemsha mafuta yachemke vizuri, kata vitunguu maji, pilipili hoho na mbuzi, andaa maziwa fresh kikombe kimoja. tumbukiza vipande vyako vya BAN katika mafuta yanayochemka ukichanganya na viungo vyote! pika kwa dakika 7, epua BAN yako, iache ipoe, inafaa kula kwa wali na hata makande