muonee huruma mwenzio, baridi hii inamsumbua
Mkubalie bana labda wenge litapungua.
Atadata zaid af anipe shida, atanisumbuaMkubalie bana labda wenge litapungua.
Hahahaa apambane na hali yake aisee, sio kwa hzo swaga zake za leomuonee huruma mwenzio, baridi hii inamsumbua
Cc: Bushmamy kamata hyo mashine utafurahi mwenyewe,usisahau kuleta mrejesho.Nina hamu nipate mwanamke msaafi, mzuri, yani nimfaindi yani nizame mpaka uvinza, awe tuu anajielewa mimi kutunza sio shida jamani, ilimradi awe tayari kupima (maana wanawake wa sasaihiv ukiwaambia kupima wanapiga chenga).
Yani ninahamu sana nipate mwanamke fundi nitafurahi sana (maana wanawak mafundi sikuizi hamna, ufundi kabaki nao mbuzi tuu)
Ukiwa fundi utakula vyangu
Sent using Jamii Forums mobile app
baharia maji yamemzidi anatapatapaHahahaa apambane na hali yake aisee, sio kwa hzo swaga zake za leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema raha jipe mwenyewe, wacha ajifrahishebaharia maji yamemzidi anatapatapa
Pompeo wa JF![emoji16][emoji16][emoji16]
Hicho kitumbua kimenikumbusha mbaliPompeo wa JF![emoji16][emoji16][emoji16]
Utaniua lenie wanguHahahaa apambane na hali yake aisee, sio kwa hzo swaga zake za leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi similiki geto, namiliki nyumbaAnza kwanza wewe kuwa msafi ,mstarabu ,fua boxer sio boxer unavaa siku tatu ,
Badili lugha ,anza kuongea kiungwana na marafiki ulio nao ,pia anza kwenda sehemu nzuri za kujipumzisha classic mbn utawapata mkuu
Mwisho hakikisha gheton kwako pia ni pasafi na Pm safisha kabisa usiache ushahidi wowote
sent from HUAWEI