Nina GPA ya 3 nataka kufanya masters ya public health lakini kwa scholarship

WAR

Member
Dec 16, 2016
49
36
Nina GPA ya 3.0 nataka kufanya masters ya public health kwa scholarship, tafadhali mwenye uzoefu na haya mambo naomba ushauri nifanyaje, hofu yangu ni kwenye hiyo GPA (Tafadhari changia bila kukashifu mana tunazidiana uwezo wa darasani)
 
Kuna uzi mwaka jana kama sio mwaka juzi walikuwa wanasema masters za mzumbe ni kama maharage ya mbeya!!
Haha... mzumbe wapo poa siyo wa kugeza. Lilikuwa tawi lao la hapo Dar ila walibadilisha hiyo system.
 
Kwa vile haujasoma medicine sijui kama utakubalika ila nawajua watu kadhaa wamepata scholarships za Sweden kusomea public health. So tafuta huko, google ni rafiki yako.
 
Back
Top Bottom