Unapokua msalani HUANZA KUNAWA MIKONO KABLA YA KUJIOSHA SIRINI AU HUANZA SIRINI KISHA NDO UNAWE MIKONO KWA SABUNI?Yah choo kisaf
Namimba ya miezi 6 nazumbuliwa na fangasi nishatumia sana dawa za mahospital lakini wapi tatizo bado lipo pale pale hadi nimekataa tamaa ya kupona kinachoni changanya zaidi na kunitia hofu kuhisi my bby wng wa tumbon je hatopata na madhara yoyote