Nina diploma ya business administration.natafuta kazi

sepha

Member
Jul 31, 2014
5
0
nimewahi kufanya kazi kama cashier, kama accounts assistant , kama administrator, kama store keeper namba yangu 0763141424
 
Pole sana mkuu,, komaa mambo yatakaa sawa tu na usikate tamaa....... jitahidi kwenda front mwenyewe sometimes watu wanaweza kuikubali tu hiyo confidency yako na kuna wengine huwa hawatangazi nafasi za kazi...

Mambo yakiwa magumu kabisa na unategemea ajila ikuokoe basi nenda VETA chang'ombe tafuta field yoyote ya ufundi soma.... kazi za ufundi siku hizi ni nyingi sana......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom