Tumia desktop kurushia Nyimbo kwenye simu sehemu za uswazi huwezi kosa hata buku5 ya kula.Maisha yanakaba mtaani, inafika hatua hata vitu ulivyovinunua kwa ajili ya matumizi binafsi unaanza vifikiria ni jinsi gani vinaweza kuongezea kipato, mimi ni kijana umri miaka 24 sina ajira ya kueleweka yaan naunga unga sana gheto nina desktop moja na kilaptop kimoja naomba wanajamii mnisaidie kujiajili kwa vifaa nilivyo navyo hivi niko makambako
Jiunge bundle fungua account ya paypal ufanye remote tasks. itakulipa ukiwa serious mkuu.Maisha yanakaba mtaani, inafika hatua hata vitu ulivyovinunua kwa ajili ya matumizi binafsi unaanza vifikiria ni jinsi gani vinaweza kuongezea kipato, mimi ni kijana umri miaka 24 sina ajira ya kueleweka yaan naunga unga sana gheto nina desktop moja na kilaptop kimoja naomba wanajamii mnisaidie kujiajili kwa vifaa nilivyo navyo hivi niko makambako
Ipoje mkuu unanufaika kivipiJiunge bundle fungua account ya paypal ufanye remote tasks. itakulipa ukiwa serious mkuu.
Paypal haipokei malipo TanzaniaJiunge bundle fungua account ya paypal ufanye remote tasks. itakulipa ukiwa serious mkuu.
Paypal KenyaPaypal haipokei malipo Tanzania
Una ujuzi gani? Tusnzie hapo.Maisha yanakaba mtaani, inafika hatua hata vitu ulivyovinunua kwa ajili ya matumizi binafsi unaanza vifikiria ni jinsi gani vinaweza kuongezea kipato, mimi ni kijana umri miaka 24 sina ajira ya kueleweka yaan naunga unga sana gheto nina desktop moja na kilaptop kimoja naomba wanajamii mnisaidie kujiajili kwa vifaa nilivyo navyo hivi niko makambako