Nina Degree ya Computer Engineering ila nimeitwa kwenye usaili kwa form Six!

PRESIDA TO BE..

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
302
Reaction score
200
Ndugu wa jamiiforum, mm nikijana wa kitanzania, yaani Mtanzania. Niliomba Zimamoto kwa level ya degree ila sikuitwa kwa bahati mbaya au nzuri niliomba pia kwa level ya form six ila ndio nimeitwa.
NAOMBENI USHAURI, JE HAWA JAMAA WANAWEZA KUNIRUHUSU KUONYESHA CHETI CHANGU CHA CHUO BAADA YA MUDA GANI??
 
nyie ndio mnazibia wadogo zenu riziki kama umeomba hyo nenda habari za kuonyesha cheti cha chuo sahau tena kama ni mimi nafanyisha interview nkikugundua naku DISQUALIFY
 
Zimamoto aheri ukauze chipsi hiyo siokaz ndo wanaolipwa mishahara midogo kupta idara yoyote hap tz
 
usimkatishe mwenzako tamaa kama hana kazi bora akaanzie huko kwa fom six wenye fani watakua wanalipwa laki 4 hadi 5 hawatatofautiana sana na wenye degree
 
Kiongozi ukifanikiwa kujiunga na mafunzo,ukimaliza mafunzo salama,wakati wa kuingia rasmi kwenye ajira,palepale unatoa magamba yako.
 
nenda kapige usali kijana na ukipata kazi kafanye hiyo fani yako uitaitumia tu baadae ukiwa kazini, zinapo tokea nafasi za kazi katika organization yoyote ile huwa wana angalia kama kuna wenye sifa za kuziba nafasi hizo kwa walio ndani kwanza kabla hawajatangaza nje na wewe ndio muda wa kubadili position!
 
Ndugu wa jamiiforum, mm nikijana wa kitanzania, yaani Mtanzania. Niliomba Zimamoto kwa level ya degree ila sikuitwa kwa bahati mbaya au nzuri niliomba pia kwa level ya form six ila ndio nimeitwa.
NAOMBENI USHAURI, JE HAWA JAMAA WANAWEZA KUNIRUHUSU KUONYESHA CHETI CHANGU CHA CHUO BAADA YA MUDA GANI??

ikitokea umepata kazi itabidi ukae miaka mitatu ndiyo uombe kufanyiwa recategorization,na hapo kuna kukubaliwa au kukataliwa kulingana na ushindani uliopo,njia rahis zaid ingia kwa hyo form six zen ukiona ajili mahali omba zen ondoka hko
 
nenda kapige usali kijana na ukipata kazi kafanye hiyo fani yako uitaitumia tu baadae ukiwa kazini, zinapo tokea nafasi za kazi katika organization yoyote ile huwa wana angalia kama kuna wenye sifa za kuziba nafasi hizo kwa walio ndani kwanza kabla hawajatangaza nje na wewe ndio muda wa kubadili position!

haswaaa umenena sawasawa. Huu ndo ushauri mzuri.
 
kijana wewe ni engineer then unaenda zimamoto kama form six yani it is too unproffesional, mbona engineering kazi zipo tu mkuu au umekosa uvumilivu?????

au mambo ya madatabase code code pc maintenance yalikupitia pembeni....
yani kwa ushauri wangu ungechaguliwa kwenye degree level sawa ila form six mkuu unaenda kujivua nyota tu na kuteseka....
yani umesoma miaka mi4 then uende sehemu usubiri miaka mi 4 tena ya kuonyesha una degree papuuu that is tooo much ajira si ngumu kiasi hicho kwa engineer............
 
nenda kapige usali kijana na ukipata kazi kafanye hiyo fani yako uitaitumia tu baadae ukiwa kazini, zinapo tokea nafasi za kazi katika organization yoyote ile huwa wana angalia kama kuna wenye sifa za kuziba nafasi hizo kwa walio ndani kwanza kabla hawajatangaza nje na wewe ndio muda wa kubadili position!

haswaaa umenena sawasawa. Huu ndo ushauri mzuri.
 
Ndugu wa jamiiforum, mm nikijana wa kitanzania, yaani Mtanzania. Niliomba Zimamoto kwa level ya degree ila sikuitwa kwa bahati mbaya au nzuri niliomba pia kwa level ya form six ila ndio nimeitwa.
NAOMBENI USHAURI, JE HAWA JAMAA WANAWEZA KUNIRUHUSU KUONYESHA CHETI CHANGU CHA CHUO BAADA YA MUDA GANI??

kumbe uliomba pia kwa form 6, we nenda Tu!
 
Zimamoto aheri ukauze chipsi hiyo siokaz ndo wanaolipwa mishahara midogo kupta idara yoyote hap tz

zimamoto ni idara nzuri sana kuanzia mshahara na posho na vijihela mbalimbali changamoto ni chai yetu ile hupati siunajua wazee wa kitu kidogo cc
 
anyway taarifa zimefika lazima usote miaka mitano kabla ya kupewa nyota kwa udanganyifu uliofanya
 
Computer engineering na hayo mambo ya kuzima moto inakuwaje? Au ndio design of automation system?
 
zimamoto ni idara nzuri sana kuanzia mshahara na posho na vijihela mbalimbali changamoto ni chai yetu ile hupati siunajua wazee wa kitu kidogo cc

Sijakuelewa hapo kwenye chai
 
Pole sana mkuu, hilo ni suala linalotesa sana watu ambao wamehangaika kusoma lakini wanaona wenzao wa sifa ndogo wanapata kazi (nimeona kuna tangazo moja la kuajiri watu 437 waliofika form 4 na certificate tu na kwenda kusomea mambo ya wanyamapori). Mimi nakushauri fikiria pia kama msomi, mfano ingia hapa www.immi.gov.au wanawatafuta sana watu kama nyie ingawa inahitaji pesa kidogo lakini am sure ukifanikisha haki ya mama utakuja nikumbuka. Kuna uhaba wa watu wa baadhi ya fani. Mbona wahindi wamejaa sana kwa fani kama hizo, why not us?

Nakushauri jitahidi ufatilie hiyo website, ukiwa na maswali naweza kukuunganisha na wenyewe kabisa wana ukurasa wao wa facebook na huwa wanakuwa na mda wa maswali unawauliza na wanakusaidia promptly. Anyway sisi watz wengi hatunaga ari ya kujaribu tunaishia kulalamika, please jitahidi uwe inquisitive ujue details zote as far as I know wanawahitaji mainjia wengi sijajua kwa hiyo yako, all the best
 
Back
Top Bottom