David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,120
- 6,785
Wewe mtoto wa kibaka uliyekimbia shule mwenyewe,unajua elimu yangu juha wewe? Wewe si ndo msalani a.k.a chooni,toka hapa unanuka.
Unafaa kuwa mtunzi wa nyimbo za taarabu
Wewe mtoto wa kibaka uliyekimbia shule mwenyewe,unajua elimu yangu juha wewe? Wewe si ndo msalani a.k.a chooni,toka hapa unanuka.
Keshanunuliwa viroba kalewa shida zimemzidi kakurupuka na hangover anaanza kuweweseka .Warudie waliokupa offer ya viroba au nenda kwa Mushi kanunue kamba upunguze udhia.
Wewe umetoka kwenye ukoo wa waswahili,unadhani nami ni kama wewe?
Leo naweka wazi chuki zangu nilizonazo dhidi ya chama tawala CCM na serikali yake yote, kila siku naomba itokee serikali yote ya CCM ipande ndege moja kisha hiyo ndege ipotee jumla kama ilivyopotea Malaysian Airways au rubani wake awe kichaa kama yule wa Germany Air wings aliyeigongesha ndege kwenye milima ya alps Ufaransa na kuua abiria wote 150, hilo likitokea Watanzania tutapumua na kupumzika, nina chuki kubwa na CCM kiasi kwamba pamoja na kuwa kila nafsi itaonja mauti mimi inapotokea mwana CCM amekufa nafsi yangu hufurahia sana kuwa kapunguza idadi ya kura za kuifanya CCM ikae ikulu, kwangu mimi kuwa CCM ni dhambi kubwa sana ambayo adhabu yake ni kifo, ni CCM ndo imenidhulumu zaidi ya mil 10 kwa utapeli wa kunikata kodi ambazo haziwasaidii hata watanzania wenye hali ngumu, ni CCM ambayo police wake wanakamata vijana na kuwabambika kesi za mauaji na zingine, ni CCM ambayo imeua waandishi kama Stan Kataboro, Mwangosi na Ndinani, ni CCM ambayo inataka kutuulia kiongozi wetu Dr Slaa, nina chuki kubwa sana na CCM.
:A S-rap::A S-rap:pole sana kamanda kwa machungu. karibu CHADEMA upate raha ya maisha

Haisaidii Kuichukia CCM.
Ni vyema ukawachukia Wazazi wako kwa kushindwa kupata nafasi za ngazi za juu ndani ya CCM kiasi cha kupelekea we we kuishi kwa kulalamika kama ivyo.
nakushauri ukaanze ni vyema ukajiunga CCM na kutafuta ngazi ya juu ili watoto wako na kizaz kisije lalama km unavyolalama.
if you can't hit them then join them
....nakushauri ujiue tu.