MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,088
- 35,418
Sina njaa,ni pm unitumie namba ya dadako niwape maisha kwenu.
Da ndugu una jazba saana, sikila atakae kukosea nawe unadili naye! fanya kumpotezea matusi si mazuri
Sina njaa,ni pm unitumie namba ya dadako niwape maisha kwenu.
Mkuu utazidi kukonda sana nakushauri ujiue tu.
We mjinga mwenye ID kama jina la mzizi wa kimasai unaotibu EBOLA,nani kakuambia nimeishiwa? Utakoma wewe ambaye hujui hata kesho wanao wataishi vp,na nimeshakujua nitakuweka live hapa jinsi mkeo anavyogawa papuchi hovyo.
Bahati mbaya hunijui na hutakaa unijue,ungekuwa unanijua usingesema hayo,hao niliowatukana nimewaonea? Mbona wewe sijakutuna? Au hujaona kuwa wamenitukana kwanza ndo nikamalizia? Na wewe tumia akili kwanza,kikiingia chama kingine si tu pesa zangu zitarudi,bali mabilioni yote ya ESCROW,EPA na mengine yatarudi,au huna uelewa na dunia?
Leo naweka wazi chuki zangu nilizonazo dhidi ya chama tawala CCM na serikali yake yote, kila siku naomba itokee serikali yote ya CCM ipande ndege moja kisha hiyo ndege ipotee jumla kama ilivyopotea Malaysian Airways au rubani wake awe kichaa kama yule wa Germany Air wings aliyeigongesha ndege kwenye milima ya alps Ufaransa na kuua abiria wote 150, hilo likitokea Watanzania tutapumua na kupumzika, nina chuki kubwa na CCM kiasi kwamba pamoja na kuwa kila nafsi itaonja mauti mimi inapotokea mwana CCM amekufa nafsi yangu hufurahia sana kuwa kapunguza idadi ya kura za kuifanya CCM ikae ikulu, kwangu mimi kuwa CCM ni dhambi kubwa sana ambayo adhabu yake ni kifo, ni CCM ndo imenidhulumu zaidi ya mil 10 kwa utapeli wa kunikata kodi ambazo haziwasaidii hata watanzania wenye hali ngumu, ni CCM ambayo police wake wanakamata vijana na kuwabambika kesi za mauaji na zingine, ni CCM ambayo imeua waandishi kama Stan Kataboro, Mwangosi na Ndinani, ni CCM ambayo inataka kutuulia kiongozi wetu Dr Slaa, nina chuki kubwa sana na CCM.
Punguza matusi ndugu,ongea kwa hoja tu inatosha,tuko watu tofauti tunaosoma comment zako,hatuko hapa kuangalia uhodari wa kutukana
Bro wise mimi siwezi kuichukia CCM ila naweza chukia baadhi ya viongozi waliopo mfano raisi aliyepo madarakani yaani simpendi kwani amechangia sana kuishushia hadhi CCM kwa kuwa mtu dhaifu kupita kiasi huku akiifanya taasisi ya uraisi kuwa kama ofisi ya mtendaji wa kijiji. Hebu angalia wabunge aliochagua juzi ambao hawana umuhimu wowote kwetu wananchi pia watalipwa mahitaji yote (mishahara na kiinua mgongo) baada ya kumaliza muda wao mapema mwaka huu huku wafanyabiashara tukikamuliwa bila huruma na TRA. Kikwete hakika tulipenda tabasamu lako tu.
ivi jamani kama mtu huwezi kuhimili upinzani wa mawazo na wenzako kwanini unaleta mada jukwaani nakuanzatukana watu????
Kamanda ulikuwa miner boy nini? Nahisi walikuwa wanakukata PAYE kubwa kushinda nssf au ppf? Pole ila ccm ni janga la kitaifa kweli kweli c mchezo