Nina Chuki kubwa sana na CCM

Nina Chuki kubwa sana na CCM

wiseboy.

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2014
Posts
2,931
Reaction score
4,549
Leo naweka wazi chuki zangu nilizonazo dhidi ya chama tawala CCM na serikali yake yote, kila siku naomba itokee serikali yote ya CCM ipande ndege moja kisha hiyo ndege ipotee jumla kama ilivyopotea Malaysian Airways au rubani wake awe kichaa kama yule wa Germany Air wings aliyeigongesha ndege kwenye milima ya alps Ufaransa na kuua abiria wote 150, hilo likitokea Watanzania tutapumua na kupumzika, nina chuki kubwa na CCM kiasi kwamba pamoja na kuwa kila nafsi itaonja mauti mimi inapotokea mwana CCM amekufa nafsi yangu hufurahia sana kuwa kapunguza idadi ya kura za kuifanya CCM ikae ikulu, kwangu mimi kuwa CCM ni dhambi kubwa sana ambayo adhabu yake ni kifo, ni CCM ndo imenidhulumu zaidi ya mil 10 kwa utapeli wa kunikata kodi ambazo haziwasaidii hata watanzania wenye hali ngumu, ni CCM ambayo police wake wanakamata vijana na kuwabambika kesi za mauaji na zingine, ni CCM ambayo imeua waandishi kama Stan Kataboro, Mwangosi na Ndinani, ni CCM ambayo inataka kutuulia kiongozi wetu Dr Slaa, nina chuki kubwa sana na CCM.
 
Nakushauri hiyo chuki yako uihamishie kwa wazazi wako waliokufikisha hapo ulipo.
 
Ulifanya mgodini,ukipata pesa na kuchezea kwenye pombe na dada poa.
leo umepigwa chini kibaruani,huna kitu frustration unatuletea jf asubuhi asubuhi,utakoma.
 
Njaa yako inakufanya kila anayeshiba mbaya!
Fanya kazi kwa bidii ujikomboe wewe!
Hayo maelezo yako yanaonyesha hata chai hujanywa halafu udhulumiwe mil 10?? Utaisikia hivi hivi dogo! na unadhani waliosababisha usipate chai ni CCM!
Acha uvivu ndugu
 
Ulifanya mgodini,ukipata pesa na kuchezea kwenye pombe na dada poa.
leo umepigwa chini kibaruani,huna kitu frustration unatuletea jf asubuhi asubuhi,utakoma.

We mjinga mwenye ID kama jina la mzizi wa kimasai unaotibu EBOLA,nani kakuambia nimeishiwa? Utakoma wewe ambaye hujui hata kesho wanao wataishi vp,na nimeshakujua nitakuweka live hapa jinsi mkeo anavyogawa papuchi hovyo.
 
Kamanda ulikuwa miner boy nini? Nahisi walikuwa wanakukata PAYE kubwa kushinda nssf au ppf? Pole ila ccm ni janga la kitaifa kweli kweli c mchezo
 
Dogo mbona unatokwa na povu jingi?
Umeuanzisha huu uzi kwa nia ya kuwatukana ccm na wachangiaji pia?
Hizo chuki zako na matusi unafikiri zitakusaidia kupata hiyo milion kumi yako?
By the way, unafikiri kikiingia chama kingine madarakani kitakupatia hizo milion kumi?
NI HERI UKOSE KILA KITU DUNIANI ISIPOKUWA AKILI!
 
Njaa yako inakufanya kila anayeshiba mbaya!
Fanya kazi kwa bidii ujikomboe wewe!
Hayo maelezo yako yanaonyesha hata chai hujanywa halafu udhulumiwe mil 10?? Utaisikia hivi hivi dogo! na unadhani waliosababisha usipate chai ni CCM!
Acha uvivu ndugu

Sikia wewe mtoto uliyezaliwa na mama kahaba,sina njaa kama unavyodhani,kwa taarifa yako familia yenu inaishi kwa jasho langu nyambaf wewe.
 
Dogo mbona unatokwa na povu jingi?
Umeuanzisha huu uzi kwa nia ya kuwatukana ccm na wachangiaji pia?
Hizo chuki zako na matusi unafikiri zitakusaidia kupata hiyo milion kumi yako?
By the way, unafikiri kikiingia chama kingine madarakani kitakupatia hizo milion kumi?
NI HERI UKOSE KILA KITU DUNIANI ISIPOKUWA AKILI!

Bahati mbaya hunijui na hutakaa unijue,ungekuwa unanijua usingesema hayo,hao niliowatukana nimewaonea? Mbona wewe sijakutuna? Au hujaona kuwa wamenitukana kwanza ndo nikamalizia? Na wewe tumia akili kwanza,kikiingia chama kingine si tu pesa zangu zitarudi,bali mabilioni yote ya ESCROW,EPA na mengine yatarudi,au huna uelewa na dunia?
 
Back
Top Bottom