We subiria tu Landmark ile ya Ufagizi uliyoomba, ndo yakufaa!!
Tatizo nadhani unakata tamaa mapema. wewe endelea kuomba kazi tu utafanikiwa siku ya Bwana ikifika
Labda house boy
Siyo jibu zuri,ni vigumu kwa mtu mwenye busara na hekima kumjibu mwenzako hivyo,kukaa kimya napo ni busara si lazima ku coment kila unachokiona hapa,sidhani kama aliyeleta maada anahitaji u house boy...pole sana mleta maada

Mkuu hata mimi nimesikitika sana kwa majibu ya jamaa hapo juu.Nimemsifu mleta mada alivyomstaarabu katika kujibu kejeli.