Nina changakoto ya kiroho nahitaji msaada

Hamna cha kiroho wala nini....
1.Kula kwa wakati
2.Pumzika muda wa kutosha
3.Fanya mazoezi mepesi
4.Fanya usafi mara kwa mara
5.Usiangalie muvi za kutisha wala kusoma story za kuogopesha.
6.Tatua changamoto zako za kijamii kama ugomvi,hasira,madeni na kadhalika

Mwisho japo sio muhimu, Acha ujuaji...
 
Moja ukiwa ni Ndoto za kutisha..
Nimekuwa nikiota na nalishwa Pumba, Nyama za ajabu,
Hii kitaalamu inaitwa tatizo la roho chafu kumvaa mtu.
Pia nimeota nimetolewa Meno mdomoni na mda mwingine naota meno yanameguka vipandevipande,
Meno ni kazi, cheo au ridhiki yako. Hapo tegemea majanga kazi kuharibika kuchukiwa na kila mtu sio majirani sio ndugu hata watu wako wakaribu watakukataa
Mbaya na kibaya zaidi Juzi nimepata Ndoto nanyweshwa mkojo na had nilipoamka nilikuta ile hali kama ni kweli mdomoni na siku nzima nimekosa amani kabisa!
MKojo kwenye ndoto ni roho chafu
Mambo ni mengi napitia ila hapo ni summary tu!
Umeeleweka
Siku zote mficha maradhi kifo humuumbua,
Umefanya vyema ila ugonjwa ni siri
Mimi sio mtu Wa Waganga sijui hata wataalam wa Jadi wanafanyaje kazi zao, Kwa dini Mimi ni Mkristo ila kwa Dini yangu ya kikristo kwa sasa navyoiona moyo wangu unanisukuma nipate Sheikhe Mzuri mtaalam wa visomo ili anipigie Dua.
Nenda kwenye maduka ya dawa za kiarabu yanakuwaga karibu na misikiti mikubwa popote ulipo mkoa wowote au mji wowonte ukiulizia mashekhe wa kisomo utawapata kiulaini kabisa kupitia kwa hao wanaouza duka ila ukiona aibu hapo hapo dukani waambie unahitaji dawa za kufukuza roho chafu utapata wanauzaga tena nyingi tu bei rahisi na utalala vizuri kabisaa usiku hutaona hizo ndoto ukitumia hizo dawa za kiarabu.
Kama yupo huku au kama kuna Mtu anamfaham Sheikhe mtaalam wa Dua anisaidie.
Nshakupa muongozo hapo juu huko ulipo misikiti ipo na maduka yao yapo
Sipendelei sana Waganga wa Jadi wa kunichanja chale na vinginevyo nahitaji Dua tu!
Kama unamjua sheihkhe mzuri nitumie namba inbox!
Huo ugonjwa wako kama hupendelei kuchanjwa basi usiende kabisa kwa mganga yeyote tafuta shekhe maana mganga yeyote kulingana na tatizo lako itabidi akuchanje zindiko la mwili na lingine la nyumbani kwako.

Kila la kheri mkuu.
 
Habari zenu wakuu!

Kwa kuwa mada inajieleza hapa ningeomba sana Maamzi yangu yaheshimiwe kwa sababu kila mtu anapopata changakoto kuna namna anapata Msukumo wa kuamini sehem flani ndio anaweza kupata msaada!

Nimekumbwa na changamoto kadhaa za kiroho ambazo kimsingi nitazielezea hapa kwa ufupi sana!

Moja ukiwa ni Ndoto za kutisha..
Nimekuwa nikiota na nalishwa Pumba, Nyama za ajabu, Pia nimeota nimetolewa Meno mdomoni na mda mwingine naota meno yanameguka vipandevipande,

Mbaya na kibaya zaidi Juzi nimepata Ndoto nanyweshwa mkojo na had nilipoamka nilikuta ile hali kama ni kweli mdomoni na siku nzima nimekosa amani kabisa!

Mambo ni mengi napitia ila hapo ni summary tu!

Siku zote mficha maradhi kifo humuumbua, Mimi sio mtu Wa Waganga sijui hata wataalam wa Jadi wanafanyaje kazi zao, Kwa dini Mimi ni Mkristo ila kwa Dini yangu ya kikristo kwa sasa navyoiona moyo wangu unanisukuma nipate Sheikhe Mzuri mtaalam wa visomo ili anipigie Dua.

Kama yupo huku au kama kuna Mtu anamfaham Sheikhe mtaalam wa Dua anisaidie.

Sipendelei sana Waganga wa Jadi wa kunichanja chale na vinginevyo nahitaji Dua tu!
Kama unamjua sheihkhe mzuri nitumie namba inbox!
Nenda kanisa la kilokole kamuone mchungaji ata kuombea then kila kitu kitakuwa shwari.
 
Dini yangu ya kikristo kwa sasa navyoiona moyo wangu unanisukuma nipate Sheikhe Mzuri mtaalam wa visomo ili anipigie Dua.

Kama yupo huku au kama kuna Mtu anamfaham Sheikhe mtaalam wa Dua anisaidie.

Sipendelei sana Waganga wa Jadi wa kunichanja chale na vinginevyo nahitaji Dua tu!
Kama unamjua sheihkhe mzuri nitumie namba inbox!
 
Dini yangu ya kikristo kwa sasa navyoiona moyo wangu unanisukuma nipate Sheikhe Mzuri mtaalam wa visomo ili anipigie Dua.

Kama yupo huku au kama kuna Mtu anamfaham Sheikhe mtaalam wa Dua anisaidie.

Sipendelei sana Waganga wa Jadi wa kunichanja chale na vinginevyo nahitaji Dua tu!
Kama unamjua sheihkhe mzuri nitumie namba inbox!

Main theme
 
Hapo utakuwa unaruka mfereji na kuangukia kwenye korongo!
Mtu hawezi kuwa Shekhe kama hajahitimu katika mambo ya Ilimu dunia!
Ni kushauri tu! Mtafute Mchungaji au mlokole yo yote mtaani kwako (atoke kwenye Kanisa linalohubiri Wokovu) huko utapata msaada na utakuja kutoa ushuhuda hapa!
Lakini kila mtu ana Imani yake! Kama unataka kwa Shekhe nenda tu.
 
Sleeping paralysis ndio unalishwa pumba mkuu? Uyu wanamchukua msukule punde si punde kama asipokaza
Hatukatai hizo ishu inawezekana zikawepo ila mostly ni sleeping paralysis...

Vijana mnatafuta Hela kutwa nzima, mnaumia na kuumia, unarudi sijui nyumbani sijui kwa demu wako unakuta naye anakusubiria bila kujali umechoka au ujachoka, hapo Hela huna au unayo lakini haitoshi, stress za familia....

Unaamua kulala, sehemu unayolala ina madumu panya, kelele za majirani, kunguni...

Uache kuota unafanyiwa vitu vya hovyo...

Africa ni wa chache wanapata utulivu wa kimaisha lakini pia wa kimazingira
 
Habari zenu wakuu!

Kwa kuwa mada inajieleza hapa ningeomba sana Maamzi yangu yaheshimiwe kwa sababu kila mtu anapopata changakoto kuna namna anapata Msukumo wa kuamini sehem flani ndio anaweza kupata msaada!

Nimekumbwa na changamoto kadhaa za kiroho ambazo kimsingi nitazielezea hapa kwa ufupi sana!

Moja ukiwa ni Ndoto za kutisha..
Nimekuwa nikiota na nalishwa Pumba, Nyama za ajabu, Pia nimeota nimetolewa Meno mdomoni na mda mwingine naota meno yanameguka vipandevipande,

Mbaya na kibaya zaidi Juzi nimepata Ndoto nanyweshwa mkojo na had nilipoamka nilikuta ile hali kama ni kweli mdomoni na siku nzima nimekosa amani kabisa!

Mambo ni mengi napitia ila hapo ni summary tu!

Siku zote mficha maradhi kifo humuumbua, Mimi sio mtu Wa Waganga sijui hata wataalam wa Jadi wanafanyaje kazi zao, Kwa dini Mimi ni Mkristo ila kwa Dini yangu ya kikristo kwa sasa navyoiona moyo wangu unanisukuma nipate Sheikhe Mzuri mtaalam wa visomo ili anipigie Dua.

Kama yupo huku au kama kuna Mtu anamfaham Sheikhe mtaalam wa Dua anisaidie.

Sipendelei sana Waganga wa Jadi wa kunichanja chale na vinginevyo nahitaji Dua tu!
Kama unamjua sheihkhe mzuri nitumie namba inbox!
Omba kwa Jina la Yesu na Damu ya Yesu kila kitu kitakuwa sawa.
 
Karibu mwanangu na sadaka ya kujiteketeza kama ya Ibrahim.... Inbox ipo wazi

Oooh hallelujah.....

Kuna kitu nakiona kwenye maisha yako
 
Back
Top Bottom