p John
Member
- May 14, 2020
- 8
- 3
Na Nina GPA ya 3.6 nataka diploma yoyote mnanishaur nisome ipi ambayo ina maslahii
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ko nitapata kama chuo ganii?soma diploma ya huohuo ualimu..unataka maslahi yapi mkuu..! Maisha ndo hayahaya..ukiona mtu kafanikiwa na ameajiriwa,sio kirahisi bali amepambana sana nje na hio ajira..! Nakutakia kila la kheri
Niliuliza jamaaAcha kutuzingua bhna.. Yaan toka hapo unaanza kusoma ualimu ulikuwa huna vision yoyote mbeleni