Nina certificate ya community development naweza kuajiriwa kwenye NGO's

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,612
4,713
Nina cheti cha maendeleo ya jamii jee ninaweza kuajiriwa kwenye NGO's
Maana ajira mpaka dk hii hazieleweki kabisa mheshimiwa naona kapotezea suala la ajira
 
Nina cheti cha maendeleo ya jamii jee ninaweza kuajiriwa kwenye NGO's
Maana ajira mpaka dk hii hazieleweki kabisa mheshimiwa naona kapotezea suala la ajira
NJOO NIKUFUNZE KAZI ZA MIKONO UKAI ENDELEZE JAMIII KWA KIPATO CHA ZAIDI YA M1 KWA MWEZI ACHA KUWAZA AJIRA YAMSHAHARA WA 250,000/-KWA MWEZI
 
Tafuta wahitimu wenzio mjiajiri.
Kuna hela nyingi za wafadhili. Ni nyie tu kujiongeza
 
Back
Top Bottom