Nina 'ashki' ila mke kanuna

Ama kwElliii wa kunsaidia ajitokeze tu ... ama vpi oole sana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji20]
 
Me nahisi sikuiyo alichepuka ili usimgundue inabidi tu akunyime kwa kununa
 


Uislam unauhusu.
 
Huyo mwanamke mjanja sana anaogopa utagundua kuwa yeye hakuwa mvumilivu ukiwa haupo alikuwa analiwa na huenda kapigwa muda mchache kabla hujafika ndo mana anakufanyia hvyo ili usigundue chochote
 
Nikajua ashki majinuni piga purii akama uko dar jisogeze pande za tandika kwakina mshomile buku tatu tu na room. Napenda kauri yao yenye rafudhi ya kihaya " unavua viatu kwani unataka kurara hapa hapa wakati huyo ye kapandisha sketi hadi kiunoni
 
Jirani hapo kuna single maza mpembeleze mtoto wake tu,mambo mengine yanakuja yenyewe
 
Ukifika dsm nichek, nikuoneshe chocho..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ametoka kuchepuka huyo!! Sasa hapo anaua soo,we legea tuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…