Nina Allergy na Mapete! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nina Allergy na Mapete!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Oct 18, 2011.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,017
  Likes Received: 3,202
  Trophy Points: 280
  Siku hizi pia namwona Mh Waziri Mkuu anavaa haya mapete makubwa makubwa yenye vidani flani hivi.
  Kwa jinsi ninavyoshituka nikiyaona mapete hayo,,nahisi sio ya urembo,,hasa ukizingatia umri alionao, ,ni kama ya ulinzi flani ivi.

  Huwa sijapendi haya mapete wakuu,, Mi nilitengemea kwa imani aliyo nayo, angevaa zile pete zetu za ndoa tu pale kati.

  Huu ni ushauri kwake,, napende nimwone mtu amevaa pete za mfano wa ndoa na sio hayo aliyekua anayanadi Marehemu Shee Yahaya.
   
 2. Beautiful Lady

  Beautiful Lady Senior Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  nakuunga mkono mkuu.
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  ushirikina mtupu
   
 4. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Dah kama kuna kitu nachukia ni mapete-pete,i hate them sana!
   
 5. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kwamba Pinda kawa Sharo!!??
   
 6. Invarbrass

  Invarbrass JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wacha bwana
   
 7. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwani yale mapete yana maanisha nn,wanajamvi?
   
 8. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  aiseee,nami nilijiuliza mno,inakuwaje? Ule ni usharobalo au mambo ya ushirikina. Kikwete siku mbili tatu ameyaweka kando,huyu jamaa yetu kayabeba. Hadi kinyaaaaaa
   
 9. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,841
  Likes Received: 2,772
  Trophy Points: 280
  Mkuu hujafafanua vizuri unachukia hayo mapete makubwa ya ushirikina au pamoja na pete zile za mambo yetu (ndoa)? Ingawa mkuu nazo hizo ndogo unaweza kulalia pete wadau wakalalia mwili! - Chunga sana!!!

  Ila kusema cha ukweli hayo makubwa ni kero bwana! Hadi yananitia kinyaa kuyaangalia!!!!
   
 10. B

  BOKO HAARAM Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ebwana utakuwa una INVISIBLE..!
   
 11. mchapa shughuli

  mchapa shughuli JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 524
  Likes Received: 318
  Trophy Points: 80
  nimeona pinda amevaa,anahofia wazije kumdhuru..eti zinakupa machale kwa jambo baya,uongo mtupu mbona wazungu sioni wakivaa na wanaendelea kua salama..
   
Loading...