Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,378
- 2,057
Halafu wanawake asilimia kubwa wanababaika sana na wanaume weupe haswa mkoa wa arusha yaani sisi weusi hatuna maana aisee wanawake wa huku wanataka wanaume weupe..HOVYO SANA.
Wanaume weupe wapo wazuri na wapo wabayaa na wanaume weusi wapo wazuri na wabaya pia
Mi mwanaume mweupeMpaka sasa nimeshachakata mademu zaidi ya Zhong Tong 3
Lakini wengi wao ni wale black beauties
Nikiwa na demu mweupe nakuwa na mzuka nae kwa wiki kadhaa lakini baada ya muda taratibuu naanza kupoteza hisia nae na ananitoka kabisa moyoni
Mwezi wa 9 nlipata mtoto Mkali Sana mweupe wa kinyiramba lakini tangu mwezi huu umeanza Sina mzuka nae na nishamwambia simtaki
Kwangu demu mweupe namwona wa baridi tu hanipi mzuka wowote .
End of thread.
Mi mwanaume mweupe
SanabKwamba Unawapenda sana ?
Sanab
Mbona Dada zako wako hivyohivyo?Mimi nina allergy na demu Mweusi mfupi alienenepa round
Alisikika mlevi mmoja teh tehInasemekana wanaume weupe wanapenda wanawake weusi na wanaume weusi wanapenda wanawake weupe
Umenena vyemaUmepata faida gani baada ya kutembea na wanawake zhong tong 3?? Je kuna alama inayoonesha? Kama unawapenda wanawake weusi mana yake ungetafuta mmoja ukatulia.. Ishu syo weupe, bali ni umalaya..
Bora mademu kuliko mamen!mamen ni kichefuchefu
MajorityUnasema, mi mbona siko hivyo
True mimi ni mzungu unique flowerSanab ndo nini tena
[emoji3][emoji3]mkuu katoto kazuri we ni mkenya sorry kwa kuuliza maana huwa baadhi ya maoni yako unakosea kuandika kiswahili
Dada yangu yule aliyekuzaa? Unamaanisha mama yako[emoji4]Mbona Dada zako wako hivyohivyo?
Alisikika mlevi mmoja teh teh
FactInasemekana wanaume weupe wanapenda wanawake weusi na wanaume weusi wanapenda wanawake weupe
Kaka wewe ni black au white?yaan mimi weupe hata kuwatongoza uwa sifikirii kabisa..
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Sanab ndo nini tena
[emoji3][emoji3]mkuu katoto kazuri we ni mkenya sorry kwa kuuliza maana huwa baadhi ya maoni yako unakosea kuandika kiswahili
Mimi ni white kabisa wa Asili...Kaka wewe ni black au white?