Nina allergy na mademu weupe

Emb tag mmoja [emoji23][emoji23][emoji23]
mmoja ID inaanziwa na M

mwingine ID inaishia na O

mwingine ID yake haina herufi A

wa mwisho ID yake ina pcha ya mdada mrembooooo

"fungua code hizo"
 
hapana sijataja mtu jina mkuu

wenye ID zinazoanziwa na M wapo wa kutosha humu

tafadhali usimtag mtu usie na uhakika nae mkuu halafu kingine (usichukulie serious sana comment/thread zangu)
Wala sijachukulia serious
 
Kwa hiyo kumbe tatizo kubwa ni nyie hamjiamini?
 
sio hatujiamini ila wa aina hyo wanamegwa kama kawa.

Mkuu una inferiority ila hutaki kuikubali, cha ajabu unaoa asiye na mvuto ili tu asitazamwe na watu lakini baada ya hapo unamtamani yule unayemuogopa! Tabia ni asili ya mtu bila kujali ana mvuto au hana.
BTW, hivi hujisikii vibaya kuwa na mwanamke hata asiyeangaliwa? Mwanaume anayejiamini anakuwa na mwanamke anayemvutia na hiyo inamuongezea hata confidence akiwa na watu. Kamata kisu wewe acha uoga
 
Waoooooo kumbe mm ni deal maana mweusi Kama chungu cha mjaluo
 
Watu wenye ngozi nyeupe haswa hii brown ya kimburu wana majivuno na maringo sio wanaume wala wa nawake akishajijua mweupe baasi hana nguo nyingine zaidi ya nyeusi haswa wanaume

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa allergy ipo wapi hapo😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…