Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,764
[emoji23][emoji23][emoji23]Weupe niachie mie we deal na kunguru
Mi hao nawatumia na kuachana nao maana ni watu wenye nyodo na majaribu kibao unaweza kufa kwa presha bure.
Kweli kabisa mkuuMi hao nawatumia na kuachana nao maana ni watu wenye nyodo na majaribu kibao unaweza kufa kwa presha bure.
kweli mkuu na usiombe awe mweupe afu nyuma kafungasha mbona kila baada ya hatua 5 anakutana na mshale sasa jiulize ataweza kukwepa mishale yote kila siku?Ndio mana wajane wengi ni wanawake weupe wanawa resti in pisi wanaume zao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kweli mkuu na usiombe awe mweupe afu nyuma kafungasha mbona kila baada ya hatua 5 anakutana na mshale sasa jiulize ataweza kukwepa mishale yote kila siku?
Ukitaka ndoa yako idumu wewe jinyakulie tu maji ya kunde, ila ukutaka idumu haswa chukua mweusi kama chungu cha wajaluo afu awe flat mbna utaenjoy maisha.
Kwanza hata akisimamishwa huna wasiwasi
yupo humu nikutagie wawili watatu?Mimi nina allergy na demu Mweusi mfupi alienenepa round
Emb tag mmoja [emoji23][emoji23][emoji23]yupo humu nikutagie wawili watatu?