simbampole
Member
- Jun 12, 2012
- 18
- 13
Nina alizeti kilo 10, nataka kukamua ma
futa. Nielekezeni kwenye mashine iliyo karibu na hapa ninapoishi, Kibaha, Picha ya Ndege.
Mikoa ya Pwani na Dar kupata mashine ya kukamua Alizeti ni ngumu sana.Kwa mfano Dar mi naifahamu moja tu ipo Kipunguni Matembele ya 2Nina alizeti kilo 10, nataka kukamua maView attachment 2952824futa. Nielekezeni kwenye mashine iliyo karibu na hapa ninapoishi, Kibaha, Picha ya Ndege.