nahitaji smartphone iliyo nzima na inafanya kaz vizur pia isiwe na majanga yoyote.........ina haraka kidogo so kama unataka tufanye biashara nitafute kwa 0656497469 ama nitumie picha whatsapp kwa 0763969066
Ukisogea mpka laki na 10 nakupa HTC mpyaa boxed Toka dukan
Htc ipi mkuu?
Nahitaji smartphone iliyo nzima na inafanya kaz vizur pia isiwe na majanga yoyote.........ina haraka kidogo so kama unataka tufanye biashara nitafute kwa 0656497469 ama nitumie picha whatsapp kwa 0763969066
HTC m2
Naomba mawasiliano yako, uko dar?