Nina 150,000/= nahitaji 21 inch flat screen tv

Nina 150,000/= nahitaji 21 inch flat screen tv

Iyokopokomayoko

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,785
Reaction score
443
Habari,

Kwa pesa hiyo, nahitaji tv mpya ama used lakini iwe haina matatizo na inafanya kazi, mhimu iwe ina USB port, aina yeyote LCD ama LED.

Nipo Dar
 
subiri hivyohivyo mbona hiyo hela hata gari la kutembelea unapata... JIWE UNUSU tena mzee...mbona nyingi...WEWE TAJIRI ILA HUJAJIGUNDUA TU
Sent from natamani nkutukane using
JamiiForums
 
mbona haka kauzi kameanza na ban mapema namna hiyo!!hapa si pa kukaa!!
 
mkuu, uko chini sana. Ungekua na angalau 250 k kingeeleweka
 
Wewe unayo ya bei gani? hapa chini mwenzio ana ya 250k, wewe je? ni pm email yako

subiri hivyohivyo mbona hiyo hela hata gari la kutembelea unapata... JIWE UNUSU tena mzee...mbona nyingi...WEWE TAJIRI ILA HUJAJIGUNDUA TU
Sent from natamani nkutukane using
JamiiForums
 
Back
Top Bottom