Lazima tufanye export bidhaa mbali mbali kwenda mataifa mengine, sasa Tz mda wote ni kupokea tu bidhaa na isitoshe tunapokea bidhaa feki, Pesa yetu kuwa na thamani siyo rahisi.
Kama Tz tunataka Tsh isishuke thamani exportation inatakiwa iwe kubwa kuliko importation
Ukiingiza vitu (importation) itakufanya wewe uitafute $ kwa nguvu ili uingize mzigo na ndo hapo tunapojikuta Tsh yetu inashuka thamani bcz tunavouza nje ni kidogo kuliko tunavoingiza