Hivi vizazi vya Dot.Com utaviweza mwalimu?
Mpe kitu yake mama ...
Mpe kitu yake mama ...
mkuu, niliwahi kusikia kuwa,
ukikamata guiness bottle 2,
kisha ukachanganya na kisichana 1(konyagi),
habari yake ni bora isikukute,
utatamani kubaka!!!!!!!!!!
Duh! Siviwezi.
Suala lisingewekwa ki personal zaidi ingekuwa kuna afuweni, lakini hapa sasa 'tabia za kitandani' zote za Mr wa Pearl na Pearl mwenyewe tushazijua.
Wenye imagination tena ikifika time Pearl yupo na Mr wake, wajichoree picha.
Akina dada, asiye kujua hawezi kukudhuru, kikulacho kinguoni mwako,.........Dini huwa hazikosei kwa hiyo "hala hala mti na jicho"
eeeh tena la arusha bichiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ah ah ah dereva hala hala mkono na paja!
mambo vipi FL, heri ya mwaka....kuna mrembo nilikuwa nachat nae tu, juzi juzi tukapata muda wa kuongea, bac she was lyke jamani mbona naongea na FL? nikamwambia unabonga na Nyamayao bwana, akaniambia yaani sauti kama ya FL kabisa jamani au imekuwaje? nikamwabia ngoja ntamuomba no nimckilizie....hahahaha....naomba uni pm ur no sweet.....
Mambo????!Mtoto mzuri signature yako inanitatiza hapo kwenye red
kwani wataka mpa nani ati :love:
"Forever young!I wanna be!
SINGO AND NOT SEARCHING"
Mtoto mzuri signature yako inanitatiza hapo kwenye red
kwani wataka mpa nani ati :love:
"Forever young!I wanna be!
SINGO AND NOT SEARCHING"
Pearl, hebu nithibitishie hili,
nasikia hawa jamaa wanaokula hilo jani bichi,
huwa ni wazuri sana kwa kwenda uvinza?
sasa sijui ile stimu ya jani ikichanganyika na ladha ya chumvi inakuwaje?
Mmhhhh!!!!!!!
:love::love::love::love::love::love: all over this place???
Au ni tamu.....au ni duduz.......au konyagi au jani.........
Mambo????!
Mkwe hii ni hekima ya uzee ukubwa dawa The Finest ampe tu kwa nini hajisikii lakini wakati mwenzie anajisikia :angel: