yaan mlihaidiana meng kabla ya kuonana! Hapo ndo kosa lilipoanzia. Btw mwambie hujaridhka nae atakuelewa kama muelewa kwan mapenz ni lazma kila mtu aridhke na mwenzake vingnevyo mtaishi kwa mapenz ya kupretend na haitachkua mda mtapgana chni
Nimekuuliza hivyo sababu post yako ni ya kitoto.Hutaki kumuumiza halafu unaweka hilo swala humu JF ambapo na yeye yupo,kwa maana nyingine tayari amesha soma na kujua hivyo ameumia.