Mkuu hapo huna chako. Bidada ashawekeza mapenzi yake kwa kidume kingine. Inaonekana anashindwa kukupa ukweli. Ulikosea sana kumtelekeza kipindi chote hicho. Chukulia hayo ni mafunzo kwako. Endelea na maisha yako na yeye muache awe huru kwa alichokichagua. Usilazimishe. Utaumiza hisia zako.