Nimuombe vipi msamaha anielewe?

Uliwahi kumla?
 
Muache mkuuu hata kama utasamehewa hatakuwa na iman nawe itakugharimu sana kuonyesha kuwa unampenda itakuwa zamu yako kusumbuka juu yake

Kingine inawezekana tayari yuko kwenye mahusiano vyema utafute mwanamke mwingine umsahau yeye kwq sasa
 
wanawake wote bado unalalamika tafuta mwengine
 
Usiamshe mapenzi kabla ya muda wake. Tafuta kwanza shule ya kusoma form five mdogo wangu. #ushauri wa bure#
 
miez kumi mingi sema ulimkosea nini, kama alikufumania, kula zako hachana nae, ila ndani ya miezi kumi jua lazima ana kidume kina mgegeda tu.
nlikua shule ndugu na kosa lenyewe so kunifumania tulipishana lugha tu
 
Mie kumi umekaa kmy af unaenda kuomba tena msamahaa me nkajua huo mda wote ulikua unamuomba msamaha
hii ni mara ya nne ndani ya hii miezi kumi na analitambua hlo
 
Miezi 10 bila kuongea au kuwasiliana nae alaf unategemea mrudiane kirahisi. Tafuta mwingine,kipnd cha kuomba msamaha kishapita.
hii ni awamu ya nne namuomba msamaha ndani ya miez hii kumi
 
Miezi kumi yote hiyo anakutunziaga wewe tu?? Msiwe na tabia ya kutishia kujamba wakati unajua tumbo linakusumbua.....
evlyn: hii ni mara ya nne namwomba tokea takribani mwezi wa kwanza wa tatu hadi saasa miez kumi
 
Looh sasa usitumie nguvu kurudisha penzi jaribu kuwa karibu naye bila kutala muwe wapenzi
Yaani msg asubuhi na jioni kumjulia hali
Mshirikishe mambo mbalimbali yakijamii na familia
Kama mlipendana kikweli ataachia moyo na kurudiana
 
Wewe jamaa wa ajabu..!ukae miezi yote iyo bila mawasiliano alafu ujitokeze tuuh kuomba msamaha..acha ujinga...!
 
Huyo ana mtu wake bwana achana nae kiroho safi, ukimlazimisha atakubali lakini ujue utakuwa mpango wa kando.
 
We acha hizooo yani miezi kumi umlie bati mtoto wa kike halafu leo ujifanye ndio unaomba msamaha,Seriously???

Tafuta shughuli nyengine ya kufanya hapo huna chako bro na mie ndio namgonga sahivi ila hutaskia akinitaja, used to be her secret admirer kipindi unamletea pozi. Hebu Pelekeshaaaaaaa hukoooo....!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…