Hujui wanawake, hakuna mwanamke anapenda hakika akasahau haraka hivyo, pole ua shallow minded person.miez kumi mingi sema ulimkosea nini, kama alikufumania, kula zako hachana nae, ila ndani ya miezi kumi jua lazima ana kidume kina mgegeda tu.
Hao walishaishaga, sasa hivi hata upendwe vipi ukifanya upuuzi unaachwa na kusahaulika tunaenda plan B. Ukirudi utavutwa vutwa ukiamini unasamehewa kumbe its pay back time.Hujui wanawake, hakuna mwanamke anapenda hakika akasahau haraka hivyo, pole ua shallow minded person.
Anatakiwa amjali kwa namna awezavyoMkuu kuomba msamaha ni kitendo cha uungwana kabisa(NIKUPONGEZE KWA HILO), pia jinsi ya kuomba msamaha inategemea na aina ya kosa. Cha kufanya usimtafute hewani,,,,nenda physically!!! pili kama aliwahi kuwa lover wako itakuwa rahisi sana kusamehewa. Kingine uwe na confidence interact naye as if hamjaachana, kwa kila kitu mtreat kama bado mpo pamoja, hii itasaidia kumrudisha kumbukumbu nzuri na ghafla atataka kurudisha hisia za zamani....Hawa watu ni more emotional so wakati mwingine care ni muhimu.