Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,379
- 2,828
Na hapo ndo matatizo huanzia....aisee hizi moyo hizi!Daah aisee sema tu ni hulka ya binadamu kupenda zaidi kilichofichwa.
Haani kama una mlenzi yuko loyal sana kwako hutompenda ila utataka yule msumbufu, cheater nk basi tu ili roho isumbuke.
Utamuoa single maza kwa tamaa za ganda la ndizi na mauno feni.