Nimufanyeje mtu kama huyo?

E Original

Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
38
Reaction score
3
Jamaa mmoja nilimukuta kasimama na my sister, wakati napita jamaa nikamsikia anamwambia dada "ako kajamaa kanalinga kisa kanachukua demu wa geti kali" wakati yeye kasimama na dada yangu. Nimufanye nini huyu jamaa?
 
Dah, Ngoja nirudi ktk jukwa la wakubwa maana hapa naona bado ni watoto wanasimama vichochoroni, kaazi kweli kweli.
 
Dada yako amemjibuje? Kama dada yako hajajibu basi ni kweli unaringa. Are you a real Great Thinker?
 
Peleka upuuzi wako FB. Mjinga sana wewe mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…