Wakike jmn
Miaka 25 ni mwanamke mwezio; sio binti huyo!! Kwa swala la kuingia chumbani kwako 1) Uwe unafunga mlango 2) Kama ulimuita ukamwambia na bado hasikii, kua mkali nae mama, mkaripie!! Usiruhusu mtu akuzoee namna hio. Ukianza kumchosha mumeo na maswala madogo kama hayo, yakikukuta makubwa atakua keshajichokeaBint Anamika 25 tabia yake kubwa inayonikera nikuingia chumbani kwangu yeye anachumba chake lkn akiwa nashida anaingia tu haijalishi atanikutaje labda navaa wala hajali binafsi naona kitu Cha ajabu sababu tulivyokua chumba Cha baba na mama Cha kuheshim na tulikua tunaingia kwa emergency, nilimuita nikamwambia ukiwa na shida chumbani niambie au bisha hodi lkn haiajsaidia
Aisee mkuu ukiamua unachamba kiasi hiki duh.Huyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.
Mwanamke kinyampera asiejijua msungo mkubwa. Uso umemparama mkosa soni mshenzi huyo.
Ndugu yangu nakusihi fanya juu chini umtimue hugo mbwa koko laa sivyo utakuja juta.
Mwaaali! Mwaaaali!! Mtoto wa wifi yako ndio unamuachia hivyo? Akija mama yake (wifi yako) si ndio atakutawala kuliko maelezo. Hizo hela ukiachiwa na mumeo na wewe unazianika sio?? Hivi kwanza anaingiaje jikoni kwako as if ni nyumbani kwake??!! Unakosa amani nyumbani kwako mapema hii?? Hebu wacha masikharatabia ya pil anafanya vitu anavyotaka yeye mfano akitaka kupika haulizi tunapika Nini anapika anavyojisikia na anavyotaka yeye unakuta hela niliyoachiwa ikiisha naulizwa Mimi nashindwa kumwambia mjomba ake napotezea tu.... Kila siku anakuja na marafiki wapya hata anitambulishi Wala siwajui napishanao tu naweza kutana na mtu jikon au chumbani kwake hata cjui Ni Nan serious nakosa Amani nashindwa nifanyeje
Shangaa wewe maana mie nimeshindwa kushangaa!!Yaani mgeni aje kwangu halafu anipande kichwani haiwezekani kabisa lazima afate masharti ya nyumbani kwangu.
Huyu mtoa mada nae anaonekana kamzoesha mwenyewe chumba cha mumewe anaingiaje mtu mwengine bila taarifa,kuhusu swala la pesa anajuje inamaana akiachiwa pesa na mumewe ana mkabidhi huyo binti.Mwaaali! Mwaaaali!! Mtoto wa wifi yako ndio unamuachia hivyo? Akija mama yake (wifi yako) si ndio atakutawala kuliko maelezo. Hizo hela ukiachiwa na mumeo na wewe unazianika sio?? Hivi kwanza anaingiaje jikoni kwako as if ni nyumbani kwake??!! Unakosa amani nyumbani kwako mapema hii?? Hebu wacha masikhara
Ghafla nimemuonea huruma sana mleta mada. Ndoa yake ndio kwanza changaaa halafu vidudumtu wanataka wamuharibie maskini.Aisee mkuu ukiamua unachamba kiasi hiki duh.
Aisee..!Huyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.
Mwanamke kinyampera asiejijua msungo mkubwa. Uso umemparama mkosa soni mshenzi huyo.
Ndugu yangu nakusihi fanya juu chini umtimue hugo mbwa koko laa sivyo utakuja juta.
Huyo hana adabu khabithi l'amali, mwanahizaya mkubwa aliekosa mafunzo. Mshenzi mmoja asiejua zuri wala baya, mmbwa koko aliekosa malezi ya wazazi wake.
Mwanamke kinyampera asiejijua msungo mkubwa. Uso umemparama mkosa soni mshenzi huyo.
Ndugu yangu nakusihi fanya juu chini umtimue hugo mbwa koko laa sivyo utakuja juta.
Aggghhh wewe acha tu aggy! Unajua baadhi ya wanawake maskini wapolewapoleee wanaonewa mpaka Sisi wenye mioyo ya huruma tunajiskia vibaya
Best maswali ni mengi aje atupe majibuShangaa wewe maana mie nimeshindwa kushangaa!!
Wacha aendelee kumchekea, atavuna alichopanda. Kuna wale watani wangu mjomba na mtoto wa dada sio issue. Mungu amuepusheHuyu mtoa mada nae anaonekana kamzoesha mwenyewe chumba cha mumewe anaingiaje mtu mwengine bila taarifa,kuhusu swala la pesa anajuje inamaana akiachiwa pesa na mumewe ana mkabidhi huyo binti.