Nimueleweje Mwanaume huyu

Nimueleweje Mwanaume huyu

Kwanza ulimsaliti husband hiyo ni mbaya mbele za Mungu na pia ulimkosea sana mumeo. Inavyoekana pia unatengeneza mazingira ya kum protect hiyo jamaa meaning kwamba bado una hisia kwake. Kwani akifukuzwa kazi ina kuhusu nini wewe? Vinginevyo mueleza husband hilo ukweli wote. Kazi kwako
Hapana asimuharibie kazi maisha hayahitaji visasi mkuu
 
Wanawake akili zao zipogo kabatini muda wote huna haja ya kuumiza kichwa mkuu. Anamhofia mzinifu/mchepuko kuliko mumewe aliemuona kuwa anamfaa ktk maisha yake miongoni mwa mamilioni ya wanawake wazuri na warembo kupita yeye.
Sasa ushauri wa mumeo huutaki kuusikiliza,sie watu baki utasikiliza ushauri wangu??
 
Ukikojolewa huna jipya hata ukienda kwa bosi wake hakuna utakacho badili lazima taratibu zifuatwe,zaidi kuwa mpole ili upate ulichokusudia ukizingatia unatembea na manii yake huko tumboni,,boya ni wewe
 
Dah mke wangu kumbe huyo jamaa anayezingua ashakugonga ...
 
Natabiri huyu dada kulala tena na afsa wake na kufumaniwa

Hii movie ilivyo lazma dada udakwe labda jamaa ahamishwe mkoa
 
Sijui kwa nini nimesoma huu uzi...! Ila kati ya yote nimetabasamu niliposoma neno akanigonga' ....kweli wanawake mkiwezeshwa mnaweza!
 
Hbr wakuu,
Nimerudi tena, baada ya kutanga na dunia nikakutana na mkaka mmoja tulikuwa marafiki kwa muda usiozid mwaka, jamaa huyu alikua ananitaka basi baada ya kumsumbua sumbua mwisho wa siku nikamkubalia akanigonga mala moja ila baada ya kutoka hapo nikamsaminisha na mume wangu yaan hawana tofauti tena mala 10 hata ya mume wangu anacare huyu anaonekana play boy, japo nashukuru tulitumia kinga

Baada ya kumaliza tendo nililia SNA why nimemsaliti mume wangu anaenipenda na kuniheshim nikaapa na kutubu ctachepuka tena nilitaman kuonja nje kupoje lakin hakuna tofauti yoyote na ndani kwangu. Wanawake wenzangu mliolewa tutulie kwenye ndoa zetu hao vibrazamen hawana lolote zaid ya kujiabisha tu nimekoma mwanzo na mwisho SICHEPUKI TENA

Kilichinileta hapa huyu jamaa playboy baada ya kumaliza shughur kurudi home nikampiga kibut nikamweleza sikuhitaji kuwa naww nayy mwnyewe anaonyesha MTU was videm bas nikampa sababu kibao, nikamwambia Mr akijua ujue utaharibu kaz na, Huku upo ugenin akaelewa tukaachana Ila kama Luna kibifu fulan HV coz nikimtext inshu za kaz ananijib anavyo jisikia

Huyu jamaa ni afisa wangu wa mkopo so nahitaji kuchukua mkopo lakin anajufanya ananirusha rusha wakat sidaiwi mpaka Mr akaniuliza huyo jamaa VP mbona anakuzingua nikamjibu alikua anataka rushwa ya pesa cjampa nilipochukua ule mkopo so amemaind

Mr anasema nenda oficn kaonane na boss wake umueleze unataka mkopo Ila usimchomee huyo jamaa nikamwambia sawa swali linakuja?
Endapo akiniona na boss wake sitamuharibia kaz na je? Atachukuliaje so bifu litazidi tutakua hatusalimian nayy ndo afisa wangu.

Ushauri povu ruksa.
nasikitika kukwambia kuwa wewe ni kaha..ba kasoro kwenda buguruni tu
 
Write your reply...


jamaa aliogonga katuwakilisha vyema wakijirahisisha we wachape tu ila anazingua kukun'gan'gania ukishafunua unataka ubaki ugundue nini ndugu yako huyo

huyo jamaa ameniuzi hapo tu
 
Back
Top Bottom