Nimueleweje Mwanaume huyu

Umeongea point.
Sema kwa mwandiko wake tu unapata picha hakuona hiki ulicho ona wewe.
 
Kwani si kashaandika kuwa kajutia kosa lake?

Wabongo wanapenda sana kujihesabia haki...
Issue siyo kujutia kosa pekee. Kwa maelezo yake mwenyewe bado she is still not being honest with her husband. Bado anatengeneza mazingira ya kum protect hiyo mshikaji. Kama kweli kajutia kwanini bado anamlinda huyo jamaa anayeonyesha kutengeneza mazingira yakuendelea naye kimapenzi? Think about it.
 
Una uhakika gani kama huyo Afisa mikopo wako na mumeo hawapo humu jamii forum, je wakisoma na kuunganisha dots hali yako na ndoa yako vitakuwaje? (hayo tuyaache) Binafsi nakushauri utulie na kufuata ushauri wa mumeo, kama ni huruma muhurumie mumeo siyo huyo afisa mikopo ambaye hana future na wewe wala familia yako kwanza hata kwenu hajulikani. hiyo kukuwekea ngumu anataka umpe uchi tena.
 
Watanzania tuendelee kulijenga Taifa letu pendwa, lenye misingi ya uzalendo, umoja na mshikamano, tupendane wote kwa pamoja watanzania wenzangu; Tufanye kazi sana kwa kujituma ili kufikia uchumi wa kati.


√Uzalendo kwanza
 
Vipi yule jamaa wa muheza ( mume wa mtu) nae ulifanikiwa kumpa? Dada thread zako nazifatilia kwa umakini sana but cha kukushauri kwanza okoka mpe yesu maisha yko inaonekana una pepo la ngono na kutaman wanaume nje ya ndoa
 
Ahsante kwa kunifuatilia, yule jamaa nilimpotezea na sikuwah kumpa nilimblock namuda mrefu cjawasiliana nae, nilihamishwa kikaz yy yupo muheza mm nipo Morogoro

Nasemaje mm nimetubu na kuokoka kabisaaa ni tamaa tu ya kutaka kujaribu nje lakin hakuna mpya na siwez Fanya hivyo tena.
Vipi yule jamaa wa muheza ( mume wa mtu) nae ulifanikiwa kumpa? Dada thread zako nazifatilia kwa umakini sana but cha kukushauri kwanza okoka mpe yesu maisha yko inaonekana una pepo la ngono na kutaman wanaume nje ya ndoa
 
Ahsante mkuu, sio kama namuonea huruma ila tatizo linakuja nikienda pale officn kwao yule boss wake atamuita na kumuuliza kwnn kadhindwa kunisaidia wakat yy ndo afsa wangu na ananijua vzr,

Cjui atakua na jibu gani Ila ninachokiona hapo, bifu litakua kubwa na anaweza akavujisha siri ikawa tatizo kwa Mr wangu akijua
 
Nimlinde kwa kip mkuu, kumbuka huyu mshkaji mm nayy ndo tunajua kwnn ananiwekea ngumu, mm simtak nimeshafanya kosa na cwez kurudia kosa tena ctaman hata kumuona nataman hata nibadilishiwe afsa mwingine cjui kama itawezekana maana boss wao anaweza niuliza kwnn ubadilishiwe afsa nikakosa jibu, wala cfikilii kuduu nae tena
 
Atajuaje kwan kuna maafsa mikopo wangapi humu jukwaan, huu ndo uzuri wa JF unaongea kwa uwaz hakuna kujuana, na uzuri nasoma comment point nachukua pumba nawapa kuku wangu wale
Mumeo yupo JF?

Maana umeandika kinaga ubaga kiasi kwamba mumeo anaweza kujua kabisa mkewe kagongwa outside...
 
Ungempa tigo ili upate radha mpya
 
Kwani si kashaandika kuwa kajutia kosa lake?

Wabongo wanapenda sana kujihesabia haki...
Wabongo wanapenda kujifanya watakatifu wakati vitombi wakubwa, Achen kujiona mko perfectly kwa kila jambo.

Kuna mdada humu nae anajifanyaga Much know SNA, kila Uzi anao andika mwanamke mwenzake lazima apite akandie namsubir nae bado hajaja

Nyie toen ushaur ukiona huna pita kimya kimya
 
Kumbe kuna dhambi kubwa na ndogo? Mie nilidhani zote ni dhambi?

Somo la kuchagua dhambi nzuri na dhambi mbaya sikujifunza.

Nilijifunza kuzikataa dhambi zote.

Kataa dhambi mche mola wako.
 
Wewe unachotaka nikuchukua mkopo
ili kufanikisha hilo inatakiwa ujue..
Everything is fair in love and war.

Huyo jamaa anataka akutafune tena ndo uchukue mkopo, kama hutaki unaweza kufanya chochote ili upate mkopo hata afisa mkopo akifukizwa...

Lakini itakuwa ni upuuzi kumfukizisha mtu kazi kisa hutaki akugonge wakati ameshakugonga.
 
Sasa ushauri wa mumeo huutaki kuusikiliza,sie watu baki utasikiliza ushauri wangu??
Kama kaweza kumuacha mumewe na kuchepuka na mtu baki anashindwaje kusikiliza ushauri wa watu baki na kuachana na ushauri wa Mumewe ??
[emoji23]
 
Mgawaji tu huyo kumbe alivua chupi ili apewe mkopo kirahisi,kkn jamaa kambania kama angepata mkopo kwa muda muafaka angekuja hapa kulalama?
So umemuona mumeo boya si ndio?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka part 2....
 
Kumbe kuna dhambi kubwa na ndogo? Mie nilidhani zote ni dhambi?

Somo la kuchagua dhambi nzuri na dhambi mbaya sikujifunza.

Nilijifunza kuzikataa dhambi zote.

Kataa dhambi mche mola wako.
Kumbe kweli neno la mungu litakufikia popote..mimi kanisani siendi, jukwaa la dini sitaki hata kuliona ila nimepata neno.

Iko ivi mkuu, nadhani ulishawahi fanya maswali ya multiple choice. Hapa kuna options mbili.
Njia ya kwenda mbinguni ni nyembamba (hatutatosha wote) na ile nyingine pana sijui inaenda wapi.
Wengine(na mimi) tumechagua ile pana na tutakutana motoni.

Usijichoshe kuhubiri neno kwenye suala linalohusu maamuzi ya mtu binafsi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…