Nimueleweje Mwanaume huyu

Huwa siwaelewi nyie vilaza. Hivi ikitokea mumeo akasoma huu uzi si anatambua kabisa mke wake ni mchepuko wa Afisa Mkopo!!!

Ikiwa unamhurumia sana huyo Afisa mkopo na hautaki kifuata ushauri wa mmeo, wakati unataka mkopo mpatie tena jamaa hiyo papuchi uone atakavyofanya fasta kukuandalia mkopo mpya
 
Ungefanya tu anachokushauri mme wako na hyo msela fanya kumpotezea tu
 
Sasa ushauri wa mumeo huutaki kuusikiliza,sie watu baki utasikiliza ushauri wangu??
Jaribu kuwa muelewa mume wake hajui kama jamaa anayemzingua mkopo amewahi kumgegeda mke wake..
Mimi na wewe ndio tunajua story yote tuapata sifa ya moja kwa moja kuweza kumshauri.,
 
Mada kama hizi zinatuvunja vijana moyo wa kuoa kabisa.
 
Mumeo yupo JF?

Maana umeandika kinaga ubaga kiasi kwamba mumeo anaweza kujua kabisa mkewe kagongwa outside...
 
Kwani si kashaandika kuwa kajutia kosa lake?

Wabongo wanapenda sana kujihesabia haki...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…