Nimuache au nimsubiri

Mkuu kirahisi hivyo?ukipenda na ukaweka malengo na mtu ni ngumu hilo jambo.waweza fanikiwa ushinda moyo ili umuache lkn malengo mengine yakawa in progress ukabaki dilemma
Mkuu kwa Maelezo ya jamaa ni kwamba tayari mwanamke anakitu ameshakiweka moyoni mwake toka alipoikuta ile SMS, angekua ni mtu mwenye kusamehe na kusahau wangeendelea na maisha mengine na si kukaa na kitu moyoni. Hapo mwanamke hatakuja kumwamini huyu jamaa hata iweje zaidi zaidi yeye (mwanaume) atakua ana feel guilty mda mwingi na penzi la dhati hakuna tena.
 
I got u mkuu. Ila mapenzi magumu sana
 
I got u mkuu. Ila mapenzi magumu sana
Acha tu mkuu!
ila ndo hivo tumeumbiwa hutuwezi kuyaepuka wala kutojihusisha nayo ingawa tunatofautina wengine huwa hawapendi wanafanya kukidhi haja/matamanio ya miili yao tu.
 
Fuata huu ushauri mkuu
 
mtoa mada uko darasa la ngap?? una umri gan?? huyo mpenz wako ana chura??..
 
Hahahaha kweli humu duniani kuna vituko. Nimecheka sana aise
 
Binti hakupendi tena ila anapenda tu ile idea ya kuwa na wewe kuna utofauti mkubwa sana yaan ulishamtoka moyoni toka Siku alipona hzo text lakin kuna kitu kilikua kinamuweka either amekuzoea au anataka aone kama labda bado anaweza kukupenda kama mwanzon..mpaka anaomba break basi ujue kakuacha kiistaarabu tu..cha kufanya sasa muache aende utakua umemsaidia hata yeye ingawa hajui...mapenzi ni hisia ndugu yangu...na hapo binti analazimisha hisia
 
Uko fom ngap dogo, mwanamke anakudanganya kirahisi ivo nawe unakubali, afu inakuwaje mnakua na democrasia kubwa ivo kwa wanawake eeh kehaaaa mnanishangaza aisee dem mnaenda date anakatalia dochi nawe unakubali eboooo
 
mbona haiitajiki kuwa na pesa za kigeni kugundua kuwa ushaachwa hapo mkuu?anaekupenda atapitisha masaa matatu bila kusikia sauti yako kweli?
 
Uko fom ngap dogo, mwanamke anakudanganya kirahisi ivo nawe unakubali, afu inakuwaje mnakua na democrasia kubwa ivo kwa wanawake eeh kehaaaa mnanishangaza aisee dem mnaenda date anakatalia dochi nawe unakubali eboooo
me midemu ya hivyo ndo maana huwa naifumua mangumi,then watu wa humu jf wananiona sijui kucare.hawa vijana wanajifanya kuweka demokrasia na wanawake wa kibongo..ndo madhara yake haya sasa
 
Wewe ni mwanaume mzembe sana! Sasa hivi mabinti wabichi wa form iv wapo nyumbani, mademu wengi wa chuo hawana mikopo ya kutosha ya kufanya matanuzi; hujawaona hao wote.
NB: mwanamke anaepaswa kuheshimiwa ni Mama ako na mke wako tena yule aliyekuzalia mtoto,!!!! Nakushangaa sana kaka,,,hata kama wewe sio HB lakini kuitwa mwanaume tu ni heshima kubwa kabisa
 
Kuna wengine wanasema kirahis san uachane nae eti wanawake wapo wengi.
Ngoja nao yawafike kama itakuw rahis kiivo,kumuacha demu unaempenda
 

Sir, I have to say,"I'm confused"! How can one be biased and yet at the same time be neutral?
Anywho lets recap; Huyu jamaa got caught with his hand in a cookie jar, after showering his girl with apology gifts and outings, he assumed all was well; Girl says she's ok but at the same time withhold's that one thing Jamaa longs for from her........ Bila kuendelea mbali, Does the above seem like an act of a person who has totally forgiven to you? If the answer is "No", wouldn't the next logical thing be for him to allow the girl the time she requested to heal?v Please feel free to educate me!
 
Anajipa mazoez yakuweza kuishi bila wewe...assume km its over
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…