Nimuache au nimsubiri

Hakufai kama ni kweli uliomba msamaha akakubali hajasamehe ni mnafiki atakughalimu siku za usoni kama atakuwa mke hana roho ya kusamehe na kusahau huyo
 
Hakuna mapenz ya dhati ya hivyoo... Yaan break for 2weeks kila sehem blocks...hahahaha mapenz ya kiboya... Kakuchukulia we boya... Me angekuwa kasharambwa makofi na kuachwa juu...
Akili za gizan hizo...
Amka mzee wanawake wamejaa
 
Kama unamuamini na unampenda kweli mpe mda atajirudi tuu huyo
 
Say NO to political, social and mental slavery in Tanganyika.
 
kiaje mkuu? fafanua please!
Katika maelezo yako Muda mwingi umesema unamtoa pesa, n.k yeye anakupa papuchi.
Kwani hawa mademu wa kibongo hamuwezi kuwa nao katika uhusiano bila kuwalipa hela?
 
Sawa, andiko refu; ila ujifunze kuandika basi!
 
Vumilia wiki iishe naikishaisha hiyo wiki wewe piga kimya mpaka akuanze yeye ukiona yupo kimya nayeye jiongezee wiki 1 nyingine yamatumaini nayenyewe ikiisha jipe siku 3 au 4 napo ukiona kimya piga chini madem wapo wengi ila wanawake wachache sana
 
Wamejaa mbuzi au atapata mbovu Zaid yake
Huyo mwanamke atakua na jamaa wa pembeni, sidhani kama mwanamke anayempenda mwandani wake akaweza kuwa na ujasiri kiasi hiko.
Angekua ni mchumba/mke angepata ushauri wenye busara zaidi..ila kwa kuwa na hawa tunaokutana nao kwenye daladala tu ukung'unte vumbi maisha yasonge haina haja ya kudanganywa na kupoteza mda.
 
Umeyatafuta mwenyew moyo wa m'mke ndio ulivyo, atakudanganya kakusamehe lkn moyon alama ya kovu haipotei milele.. Muache afanye anachojickia mpe muda anaotaka atakutafuta tu mwenyew usiwe na presha nae. Anakupenda hata yeye ila tu moyo wake unakuwa mzito kwako..
 
Ameshakuacha huyo! Endelea na maisha yako
 
Hapa ndipo mnapokosea wanaume wengi..
Eti because of such a tiny thing..

Ushauri kwa mleta mada, kudanganywa ni feeling mbaya sana mkuu, emb subiri baada ya hiyo wiki moja. Ila ujiandae kwa lolote.
 
Mwanamke akishajua unamcheat kakuta na msg yanii kurudisha moyo labda kama alikuwa hakupendi alitaka iwe kiselaa tuu.. huyo akirudii ni kwa ajilii ya pesaa tuu ilaa kukuvulia ch..u..p sijuiii... Afuu anamoy wa huruma anajisikia vibayaa kulaa pesaa tu bila kukupa nyau daah..
 
Piga chini vuta mzigo mpya mkuu!
Why stresses/depressions wakati wamejaa kibao tu.??
Mkuu kirahisi hivyo?ukipenda na ukaweka malengo na mtu ni ngumu hilo jambo.waweza fanikiwa ushinda moyo ili umuache lkn malengo mengine yakawa in progress ukabaki dilemma
 
Mkuu unanikumbusha ule wimbo wa Banana zoro wenye lyrics zake hizi "kama ni mapenzi honey basi yalikuwa zamani",kausikilize huu wimbo vizuri,kwa ufupi tu ushaachwa,hakuna mapenzi tena hapo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…