Nimuache au nimsubiri

Hahhahaha
 
dah..mkuu ndo maana kuna forums kama hizi tunasaidiana mawazo...pamoja sana!
Ni hakika...ngoja nikwambie kitu Mbuchii, mtoto wa kike anaweza akakuhamisha kwenye reli, ukajikuta umekuwa mwendawazim au unabobea kwenye ulevi wa ajabu kiasi cha watu kukushangaa! Mapenzi yapo tu....kwann uruhusu kuumia juu ya mtu ambae hakupi uhai rafiki angu? Watu wanafumaniana na wanaendelea kupendana vzr tu leo hii just sms only? You knw abt opportunity cots? Kama wakijua basi fanya mambo mengne atakutafuta yy na ujinga wake.
Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi. Be a gentleman bro.
 
Badili namba ya simu! Hama makazi. Akiku unblock anakutana na sauti za automated machine za service provider i.e 'namba uliyopiga haipo'

Jinsi ya kuhama:
Kama unahamia mbezi nenda kakodi gari ya kubebea mizigo kigamboni, chukua huko na masela wawili wa kukusaidia kupakia vyombo.
Hama saa nane usiku.

Unakung'uta vumbi la mikono kama jerry anapomaliza nyodo za Tom.
 
hahahahaha...we ni noma mkuu...
 
Ila mkuu jitahid uwe unaandika kiswahili maan hicho kimombo ulichotupia kimejaa mchanga haswaa...nakushauri uendelee na mambo yako huyo bibie hisia zimeshakata kwako... Hiyo ni saw na glass ikidondoka ikavunjika n vigumu kuirejesha kweny uhalisia wake...temana nae kabla hujajitafutia pneumonia kwenye moyo
 
anaonekana hajakusamehe, anataman kksamehe ila naona moyo wke bdo, ndo mana anakosa appetite na ww
 
hhahaah mkuu nimecheka kama mazuri ila ndo ushaachwa kwenye mataa apo
 
Mwache aende zake, wanawake wapo wengi.

Huyo atakutesa sana na kukupatia stresses za kutosha.

Utanikimbuka.
 
Msubiri tu, sasa wiki mbili au mwezi vinakushindaje kusubiri mwanaume mzima?Na kwanza hii misamaha ya vizawadi vyenu uchwara nyie wanaume mzoea ku take for granted some inakuwaga ina kwikwi! It's possible she just needs time to process and deal na usaliti wako. Kama her intention ni kukuacha what difference does it make if that happens now or a month later?Hovyooooooooooooooo
 
Your argument is biased, why you should stay neutral? I think your advice would be more potential for him!
You concludes like the guy is injustice (boy) while his partner is justice at all. while the issue was yet discussed in both sides and agreements are reached.
 
kiufupi ni kwamba ana ratiba na jamaa mwingine so hataki umsumbue mara simu, mara sms, anataka ajiachie to the muximum
 
Let her go.... Utakuja umia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…