Ahaaaaayaniii mimi nikiona m2 anaomba ushauri kama hivii naboreka sanaaaa,,,yan kulilia mapenz tenaaa daaa ni uumbwa sana.
Povu cyo?yaniii mimi nikiona m2 anaomba ushauri kama hivii naboreka sanaaaa,,,yan kulilia mapenz tenaaa daaa ni uumbwa sana.
Ndo ilivokuw mzee.Nilikuwa na mwanamke wangu kwa sasa ni ex-wangu sababu ya kuachana ilikuwa tupo mbali mbali, Mpaka leo tupo kama marafiki tu sababu mimi mambo ya yeye yupo Arusha mimi nipo Dar naona haina maana zaidi ya kujipa mawazo na hisia za moyoni tu. Ukiona mwanamke anampatia namba yako ya cm mwanaume mwengine ujuwe hata hio papuchi yake kishampatia mwanaume mwengine pia. Hapo anatafuta sababu makuchi mawili mgombane na abakie na kuchi moja.

Eti.. ww ni mdada.ebu nambie kwa uelewa wako...Ngumu kumesa. I believe on second chances jamani. But Fanya vile moyo wako unataka
Lakini kumbuka fimbo ya mbali haiui nyoka
Alishtukiwa kama ana njemba nyingine akajitetea kama alivyojitetea kwako Ili asikose kote kote.Eti.. ww ni mdada.ebu nambie kwa uelewa wako...
Y alimpatia namba yangu uyo man.
Na me nikimuliza analia?
Sent using Jamii Forums mobile app