Nimuachaje D?

Do you mean M falsifies?
Reading between the lines, it look like you did not read the first paragraph between the lines.

M hajui chochote kuhusu D
What I mean is when you have only one plate to use you getti know all it’s flowers
 


Umenifumbua macho, kuna wazo zuri nimelipata, she is muslim ... am christian, nimepata pa kuanzia... lakini pia..

Umeniacha mdomo wazi, kuna jina umelitaja hapo juu, ni jina M, jina lake la pili ingawa huwa alitumiki sana zaidi ya hilo linaloanzia na M

It seems yo too smart bro!
 

Nimekuelewa mkuu.. asante kwa ushauri
 

Wewe ni miongoni mwa watu uliyejitahidi kuijengea picha hii situation niliyonayo, na picha uliyoijenga ina usahihi mkubwa maana sijaweza kuandika kila kitu, nimelifupisha mno hili bandiko, lakini umeweza kusoma yasiyoandikwa.

Let's time not fool us, someone you knew in last 3 days, can be more important to your life than someone you knew in last last 3 years.

Nalichukua neno lako mkuu..! xfactor
 
Kuwa makini unaweza wapoteza wote hivi nyie wakaka ka huna future na mtu siunamwambia mapema kuliko kumpotezea Dada wa watu mda, huyo D wa watu anza kupunguza mazoea naye taratibu ili umuache kwa Amani maana hujui yajayo, na huyo M kuwa makini jinsi unavompenda sana ndo atakuja kukuumiza sana mpaka ukajutraa, jifunze kutokuumiza hisia za watu wengine
 
Mwache mdada wa watu bila kumuumiza na Fanya kitu roho yako unapenda na sio kufanya mahusiano ka huruma utaumia mbeleni
 
mkuu mbona kama D ana element za M,

Unajua watu dizaini ya D huwaga ni walokole sana yani yy a nakupenda na Always anapenda uwe naye tuu asiwe mpweke na Always huwa submisive sana mpaka unashangaa katoka dunia hii au, na huwa wacha MUNGU balaa, But kosa kwa wanaume ni huwanga tunakuwanga mguu moja ndani kuhusu hawa wadada......

*Mkuu ukimpelekea hili swali mlezi au mzazi wako yani D ana nafasi kubwa kachaguliwa kuwa mke wako
 

Hili ndio lengo langu; Kutompotezea muda wake + Kutoumiza hisia zake
 
Hili ndio lengo langu; Kutompotezea muda wake + Kutoumiza hisia zake
Ila umeshakaa naye mwaka mmoja na ushee hapo anza kumwambia M ukweli kuwa nilikuwa na flani nimesitisha naye mahusiano nataka Ku stick na wewe basi, maana D akajua atamtafta M yakuharibikie kote anza kumuelezea M kuhusu D, ili isiharibike kote, but karma is there be careful
 

Sioni sababu ya kujulisha M suala la D. It is more safe kulimaliza hili kimyakimya.
 
Umeona mbali cariha
 
Sioni sababu ya kujulisha M suala la D. It is more safe kulimaliza hili kimyakimya.
Itakuja kula kwako maana hutajua D kapata taarifa saa ngapi na jinsi anavojitoa kwako atamtafta M kuna watu nawajua yaliwatokea ka yako mwisho kakosa yote kwahyo kumuandaa M kisaikolojia muhimu. Mficha maradhi pia inaonyesha hao wote wawatamani huna msimamo amua moja au huyo M uzuri umekuzuzua. Tena wakijua unawaxhaganya wewe utalia mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…